FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ujinga wake ni upi?Sasa hilo jinga lina umaarufu gani, unashabikii upuuzi.
Hii michadema Kila wakati inawaza michuki tu😬😬😬View attachment 3212449
Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani ndani ya mioyo ya Watanzania juu ya kuwa na utawala wa haki na kuchukia utawala wa kifisadi usiojali kupoteza rasilimali za taifa na kuiweka nchi katika ukoloni mamboleo, mambo waliyoyapinga vikali.
Tanzania kwa sasa inazidi kuwa kinara wa utawala wa kifisadi unaokumbatia wageni na kuwajali zaidi ya wananchi katika nchi yao wenyewe. Sasa je, ziara ya Captain Ibrahimu Traole hapa Tanzania, italeta mwamko na msisimko wa kukataa utawala wa namna hiyo kwa Watanzania, kutia ndani na ndugu zetu wa JWTZ?
Mbona mkutano wa Brics south Africa alienda na hata juzi kati kuapishwa rais wa Ghana alikua hukoJamaa anaweza akasema anakuja dakika za mwisho akaahirisha,maana anaogopa kupinduliwa
Nyie si waoga kama vifaranga....Aalikwe na Namba 1 harafu tukimbie? 😄😄
Huko Ghana alienda dk za mwisho na hata kukawa na taarifa kwamba asingehudhuria,na bado anapanda na mabastola jukwaaniMbona mkutano wa Brics south Africa alienda na hata juzi kati kuapishwa rais wa Ghana alikua huko
Bastola ni statement tu........jamaa kwake wanampenda labda ahofie wafaransa kumuwinda ila sio kupinduliwa kwaoHuko Ghana alienda dk za mwisho na hata kukawa na taarifa kwamba asingehudhuria,na bado anapanda na mabastola jukwaani
Ok,kama ni hivyo vizuriBastola ni statement tu........jamaa kwake wanampenda labda ahofie wafaransa kumuwinda ila sio kupinduliwa kwao
utajua mwenyeweThis logical fallacy is called non sequitur.
Thibitisha yupo, halafu thibitisha oxygen ni yake.
Kabla hujathibitisha yupo, usirukie kudai oxygen ni yake.
DP World ni mwekezajiDP world , OBC
Hujathibitisha Mungu yupo.utajua mwenyewe
Kweli, Traole hawezi kuwa mtu wa chama tawala, mna ideology tofauti kabisa!Hamna kitu cha maana kwa huyo Traore wenu.
Hata mtu akisema awe inaisaidia family yako kimaisha umruhusu atembee na mkeo utamwita mwekezajiDP World ni mwekezaji
Huelewi maana ya impact leaders huwezi kuelewa, wewe nenda kashangilie watu wako ndilo unalowezaHii michadema Kila wakati inawaza michuki tu😬😬😬
Ndo maana Mungu anawaadhibu hawafanikiwa kwa lolote........Sasa wamepoteza 42% basi inatafuta kwa kutolewa stress.
DP World ni mwekezaji kama walivyo wengine shida Iko wapi?Hata mtu akisema awe inaisaidia family yako kimaisha umruhusu atembee na mkeo utamwita mwekezaji
Nyuzi zako nyingi pamoja na comments umekuwa ukisisitiza kwamba hakuna UCHAWI. Au mimi ndio huwa sielewi?Traore mwenyewe mchawi tu.
Shida ni mkataba wa uwekezaji tuliosaini naye, haufai. Hatukatai wawekezaji.DP World ni mwekezaji kama walivyo wengine shida Iko wapi?
Ujuo wa wageni,serikali imebidi wafukie viraka+mashimo barabara za masaki na obayAnaogopa kuuwawa , Wafaransa wanamuwinda
Hakuna uchawi, uchawi ni imani kuhusu kitu ambacho hakipo.Nyuzi zako nyingi pamoja na comments umekuwa ukisisitiza kwamba hakuna UCHAWI. Au mimi ndio huwa sielewi?