Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Mkuu mbona mpaka hapo ushamjua Traole ni naniKuna ulazima gani wa.kujua? Mimi siwezi.kwenda kupoteza mda wangu kuangalia kibaraka wa Russia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona mpaka hapo ushamjua Traole ni naniKuna ulazima gani wa.kujua? Mimi siwezi.kwenda kupoteza mda wangu kuangalia kibaraka wa Russia.
Mchawi kivipi mkuu wakati kila siku unasema uchawi Hakuna?Traore mwenyewe mchawi tu.
Kwani haiwezekani ikawa uchawi hakuna halafu bado kuna watu wanaamini uchawi upo, na wakawa wachawi kwa sababu ni watu wanaoamini uchawi?Mchawi kivipi mkuu wakati kila siku unasema uchawi Hakuna?
Ahaa mantiki yako nimeielewaKwani haiwezekani ikawa uchawi hakuna halafu bado kuna watu wanaamini uchawi upo, na wakawa wachawi kwa sababu ni watu wanaoamini uchawi?
Yeah. Ndiyo huyo jamaa. Alisema atawapiga wazungu kwa uchawi.Ahaa mantiki yako nimeielewa
nimegundua kiranga ni mbabaishaji sana.Nyuzi zako nyingi pamoja na comments umekuwa ukisisitiza kwamba hakuna UCHAWI. Au mimi ndio huwa sielewi?
We unaelewa nini na unachambua nn hapo zaidi ya kuexpress wishes zenu za kijinga?!!!! Pumbaaavu!!Huelewi maana ya impact leaders huwezi kuelewa, wewe nenda kashangilie watu wako ndilo unaloweza
Nataka nisikie kutoka kwaMwashambwa na TlaatlaahHuna hoja 🚮🚮
Jamaa anaweza akasema anakuja dakika za mwisho akaahirisha,maana anaogopa kupinduliwa
Kwa hiyo?Alafu ww mvaa ushungi tunaijua mikato yako. Umeshashiba vitumbua na visheti saa hii full kelele
Ili iweje?Kwa hiyo?
Hata sijui mkuu..Mama Abduli anapenda wawekezaji.
..Traore hapendi wawekezaji.
..Kwanini Tanzania tumemualika Traore?
..Nani anamshauri Mama Abduli?
..Au Mama Abduli hashauriki?
Kugawiawa bandari bure ni uwekezaji pia…DP World ni mwekezaji
Kwa hiyo Nchi Kwa Sasa haipati Mapato yeyote ya Bandari si ndio manake?Kugawiawa bandari bure ni uwekezaji pia…
Kabla ya kuigawa bure tulikuwa hatupati sio?Kwa hiyo Nchi Kwa Sasa haipati Mapato yeyote ya Bandari si ndio manake?
Tulikuwa tunapata kiduchu,harafu matapeli kama nyie mlikuwa mnapitisha mizigo Bure.Kabla ya kuigawa bure tulikuwa hatupati sio?
Kidogo cha zamani kilikuwa ni kiasi gani? Kikubwa cha sasa ni kiasi gani?Tulikuwa tunapata kiduchu,harafu matapeli kama nyie mlikuwa mnapitisha mizigo Bure.