Ziara ya Rais Uhuru Kenyatta Jamaica: Mikataba minne yatiwa saini, Kenya kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja, Nairobi-Kingston

Ziara ya Rais Uhuru Kenyatta Jamaica: Mikataba minne yatiwa saini, Kenya kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja, Nairobi-Kingston

Kuna vitu sielewi, hiyo Nairobi-Kingston ni sababu za Kiuchumi au Kihistoria? Kwa maana sioni trip ya Kingston-Nairobi ikijaza hata nusu ya ndege, I mean nani anaenda Jamaika?
Inawezekana ana Target watalii na wafanya biashara kati ya Caribeann countries na U.A.E especially Dubai
 
Rais Uhuru Kenyatta aalikwa kwenye hafla rasmi ya ukumbusho wa siku nchi ya Jamaica ilipopata uhuru. Ambapo atapewa fursa na heshima ya kuhutubia wananchi wa Jamaica.
 
I don't see the viability or profitability of this either.
I also don't see that either. The deal they signed was a bilateral air service agreement.... Basically it means any airline from the two countries can start flying there if they want to.


Anyway this is what Uhuru said...

---------
we would like to see flights flying from the East Coast to the West Coast of Africa and directly to Jamaica, and through Jamaica to the rest of the Caribbean as a true way of deepening our partnership,” President Uhuru said.
----------


So their will be a stop in West Africa b4 goin to the carebean, it is the responsibility of GoK to open doors for KQ. It is up to KQ to decide if the rout is feasible based on their research
 
Fursa hata vichochoroni.mmeshidwa New York huko kingstone mtabeba maparachichi au kujaza makaratasi ya mikataba tu
Safari za KQ NBI-NY bado zinaendelea. Alafu hamna sehemu yeyote ambapo wametaja kwamba KQ wataanza safari za kuelekea Kingston.
 
I think people are under estimating the significance of this visit,back to the roots-that feeling that afro-americans are being remembered and appreciated from motherland is more significance than any trade deal.this is an emotive trip for sure,you can see how the jamicans are happy,this connections are necessary##distance relatives
 
Hapo naona target ni wajamaica wanaoshabikia sana Ethiopia ili wapitie Kenya
Wakati mwingine unajiongeza hahaha
 
I think people are under estimating the significance of this visit,back to the roots-that feeling that afro-americans are being remembered and appreciated from motherland is more significance than any trade deal.this is an emotive trip for sure,you can see how the jamicans are happy,this connections are necessary##distance relatives
Its that and even more, Uhuru Kenyatta visited a shrine dedicated to the Jamaican hero Marcus Mosiah Garvey.
5Kws9-Uf64pE-eZB1zrT2Nrbu1RREFAxQQJV9F9hf9CeV7vUFk6RhMDPpSgET2xHyHQPz32mwjhYpEbkYyvmD37Ckh6D4Q=s360
Marcus Garvey's teachings on African identity, pride and unity is what inspired the Mau Mau, and other freedom movements in Africa, in their struggle and clamour for independence.
 
Nimefurahia vile makocha wa mbio za 100m,200m,400m na huddles wa jamaica watakuja Kenya ku coach kwa miezi kama sita, vile vile Kenya itatuma makocha wake wa mbio za masafa marefu kama vile 5000m,10,000m na marathon huko Jamaica kuwafundisha wakimbiaji wa huko jinsi ya kukimbia hizo mbio ndefu..
 
Back
Top Bottom