Optimus_Prime
Senior Member
- Nov 14, 2017
- 137
- 284
Inawezekana ana Target watalii na wafanya biashara kati ya Caribeann countries na U.A.E especially DubaiKuna vitu sielewi, hiyo Nairobi-Kingston ni sababu za Kiuchumi au Kihistoria? Kwa maana sioni trip ya Kingston-Nairobi ikijaza hata nusu ya ndege, I mean nani anaenda Jamaika?