Ziara ya Samia nchini Urusi inakwenda kutukosesha fursa nyingi za maendeleo kutoka nchi za Magharibi

Wao EU, Marekani hawako tayari pia kutupoteza
 
Wa kujitegemea awe Tanzania wakati hata sindano hujawahi tengeneza, tooth pick unaagiza China.
Wewe umefanya jitihada zipi ili kukomesha utegemezi wa vitui vya kipuuzi kama toothpick ?
Kwanza ni mtu mpuuzi tu anayeamini Tqnzania inaweza kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi halafu ishindwe kutengeneza toothpick.
 
Nchi yako imeingia mikataba mingi ya EU na marekani ya kusaidiwa.
Hakuna ujanja wa kuwakwepa wazungu
 
Wewe umefanya jitihada zipi ili kukomesha utegemezi wa vitui vya kipuuzi kama toothpick ?
Kwanza ni mtu mpuuzi tu anayeamini Tqnzania inaweza kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi halafu ishindwe kutengeneza toothpick.
Kondom yenyewe unaletewa bure wewe unauza.
 
Uko sahihi, lakini kwa sasa Samia ameenda huko kukwepa uwakibikaji, anajua nchi za west zinataka uwajibikaji hasa wa mauaji ya uchaguzi uliopita, hivyo amekimbilia Russia kupata kinga binafsi ya mauaji aliyafanyia watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…