Ziara ya Samia nchini Urusi inakwenda kutukosesha fursa nyingi za maendeleo kutoka nchi za Magharibi

Kujitegemea ndio kitu hatukitaki, tumeshazoea misaada kiasi cha kuhisi tupo duniani kupokea misaada ya wazungu.
... Watu wanasahau kwamba sasa, Duniani, ni kila nchi ijali uchumi na hali za raia wake zenyewe! ... na hili liliwekwa wazi mno na Trump mara baada ya kuapishwa kwamba sasa ni 'America and Americans FIRST' na wapinzani walishangilia sana hali hiyo ila sijui wamesahau lini ....! MBONGO BWANA!
 
Walioshangilia kukatwa kwa USAID ndio hao leo wanasema tunahitaji misaada.
 
Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache.

Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b.

Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia €1.2 billion sawa na Tshs 3.663 trillion kwa mwaka kupitia bajeti, afya, elimu, na maji.

Mahusiano baina ya Marekani (U.S. bilateral relations) yanatoa wastani wa $2.8 bilioni kwa mwaka sawa na Tshs 7.5 trillion kupitia uwekezaji, misaada ya maendeleo na ufadhili wa afya na elimu.

Tunaenda kupoteza frusa ya mikopo na misaada mingi kwenye miradi ya Maji, kilimo, barabara, reli, shule/vyuo.

Watoto wetu wengi wanasoma US na nchi za EU wachache sana wako Urusi, scholarships nyingi, research nyingi tunafanya na vyuo vya US na EU, biashara nyingi na investment kubwa, pesa nyingi tumewekeza Ulaya.

Miradi mingi mikubwa inaenda kusimamia kama sio kufa kwa kukimbilia ushirika na Urusi.

Imeelezewa kuwa kwenye ziara hii masharti makubwa ya Urusi kwa Tanzania ni kupewa miradi ya madini hasa Uranium.

Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.
Samia kajipeleka mwenyewe Urusi kwa sababu zake; Tanzania hatuna sababu ya kujikabidhi kwingine kokote kama taifa tegemezi la wengine.Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.
Mimi ninatofautiana na wewe katika hili.
Hii tabia ya "kujikabbidhi" kwa hao unaowaita wa Magharibi hakuna tofauti yoyote na hiyo anayofanya Samia sasa akitapatapa kuokoa uovu wake.
 
chama kipi bongo kinaendeshwa pasipo kutembeza bakuli?
CCM kitatengemea Wafabiashara wakichangie sasa Vikwanzo vikiwekwa Wafanyabiashara watapata wapi dollars za kufanya biashara? Kwasababu pesa zetu zinajuliksna East Africa tu, Uchukue pesa zetu za madafu ukanunulie mafuta utauziwa?
 
Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache.

Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b.

Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia €1.2 billion sawa na Tshs 3.663 trillion kwa mwaka kupitia bajeti, afya, elimu, na maji.

Mahusiano baina ya Marekani (U.S. bilateral relations) yanatoa wastani wa $2.8 bilioni kwa mwaka sawa na Tshs 7.5 trillion kupitia uwekezaji, misaada ya maendeleo na ufadhili wa afya na elimu.

Tunaenda kupoteza frusa ya mikopo na misaada mingi kwenye miradi ya Maji, kilimo, barabara, reli, shule/vyuo.

Watoto wetu wengi wanasoma US na nchi za EU wachache sana wako Urusi, scholarships nyingi, research nyingi tunafanya na vyuo vya US na EU, biashara nyingi na investment kubwa, pesa nyingi tumewekeza Ulaya.

Miradi mingi mikubwa inaenda kusimamia kama sio kufa kwa kukimbilia ushirika na Urusi.

Imeelezewa kuwa kwenye ziara hii masharti makubwa ya Urusi kwa Tanzania ni kupewa miradi ya madini hasa Uranium.

Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.
Anajiuza na kutuchuuza. Hafai hata kuongoza kundi la nyumbu
 
Mimi ninatofautiana na wewe katika hili.
Hii tabia ya "kujikabbidhi" kwa hao unaowaita wa Magharibi hakuna tofauti yoyote na hiyo anayofanya Samia sasa akitapatapa kuokoa uovu wake.
Hakuna mtu aliyesema tunajikabidhi.
 
Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache.

Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b.

Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia €1.2 billion sawa na Tshs 3.663 trillion kwa mwaka kupitia bajeti, afya, elimu, na maji.

Mahusiano baina ya Marekani (U.S. bilateral relations) yanatoa wastani wa $2.8 bilioni kwa mwaka sawa na Tshs 7.5 trillion kupitia uwekezaji, misaada ya maendeleo na ufadhili wa afya na elimu.

Tunaenda kupoteza frusa ya mikopo na misaada mingi kwenye miradi ya Maji, kilimo, barabara, reli, shule/vyuo.

Watoto wetu wengi wanasoma US na nchi za EU wachache sana wako Urusi, scholarships nyingi, research nyingi tunafanya na vyuo vya US na EU, biashara nyingi na investment kubwa, pesa nyingi tumewekeza Ulaya.

Miradi mingi mikubwa inaenda kusimamia kama sio kufa kwa kukimbilia ushirika na Urusi.

Imeelezewa kuwa kwenye ziara hii masharti makubwa ya Urusi kwa Tanzania ni kupewa miradi ya madini hasa Uranium.

Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.
Hatuzihitaji !
 
Kama hujui Historia; Tanzania imekuwa na uhusiano mzuri na Urusi tangia miaka ya 1970. Kuna wasomi wengi tu wakiwemo madactari bingwa wamesoma Urusi. Nafikiri aombe pia kupatiwa scholarships za masomo ya Sayansi..fursa ambayo miaka ya nyuma ilikuwepo na ilitusaidia sana kupata madactari Bingwa.

Sisi hatuendi Urusi kuunga mkono vita yake na Ukraine au pengine Kuisaidia Urusi? ILE NI FRIENDLY VISIT!.
Kitendo cha kufikiri kuwa, hata Nchi ya kuitembelea inabidi upangiwe na wakoloni; ni ukosefu wa maarifa au niseme; ni utumwa wa kifkra!!!
TANZANIA HAIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE!!!
Kiranga Kichuguu
 
Tutapata tabu sana, kukosana na nchi rafiki zetu kwa sababu ya mgeni mmoja kutoka nchi jirani anayengangania madaraka na kuuza rasilimali za Tanganyika.

Anasaidiwa na wasaliti wa Tanganyika kama Kikwete, Rostam, Wasira, Kizigha, Nchemba. Sasa wanataka kumuua Nchimbi.
 
Kwani Sisi vipaumbele vyetu ni vipi?, kuhusu ishu ya kuchagua upande upi tushirikiane wala si Jambo la afya, dunia tunategemeana hivyo hatuwezi kuchagua mahali ambapo pesa ipo, as long as tunafanya biashara basi hakuna shida maana US juzi Tu katoka China kwaajili ya biashara na hawa tunasema ni mahasimu, unajua wasiwasi unaokuja ni dhumuni halisi la hiyo ziara, unajua nchi zetu ni kama jamii za Panya, unaweza kuambiwa ni ziara ya biashara kumbe mijitu imeenda Tu kutembea, kusaini mikataba kwaajili ya matumbo Yao, kutafuta connection kwaajili ya ufisadi wao na watu wao wa karibu na kujifanya kususa, na mara nyingi hivi ndivyo tunavyofanya.
 
Anaandika Peter Msigwa.

Peter Msigwa
Msigwapeter
Pamoja na kuwa Tanzania ina haki ya kuwa na mahusiano ya kirafiki na nchi yoyote duniani kwa kadri inavyowezekana, kwa maoni yangu safari ya kuelekea Moscow imefanyika katika wakati ambao si muafaka kisiasa na kidiplomasia.

Katika kipindi ambacho Marekani na Umoja wa Ulaya tayari wameonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa kisiasa nchini Tanzania, hususan baada ya matukio ya Oktoba 2025, malalamiko ya ukiukwaji wa haki za binadamu, na kuendelea kushikiliwa kwa viongozi wa upinzani, jambo la mwisho ambalo Tanzania ilihitaji ni kutuma ujumbe unaoweza kutafsiriwa kama kuhamisha mwelekeo wake wa kimkakati kutoka kwa washirika wake wakuu wa maendeleo kwenda Moscow.

Tatizo si kwenda Moscow.

Tatizo ni kwenda Moscow wakati Washington na Brussels wanaanza kuhoji mwelekeo wa kisiasa wa Tanzania.

Diplomasia sio suala la hisia; ni suala la muda, mazingira na maslahi ya taifa.

Ukweli ambao hatupaswi kuuficha ni kwamba kwa sasa Russia haiwezi kuchukua nafasi ya Marekani na Umoja wa Ulaya katika maendeleo ya Tanzania.

Takwimu zinaonyesha wazi:

Marekani imechangia zaidi ya dola bilioni 3 katika kipindi cha 2020–2025.
Umoja wa Ulaya umechangia takribani dola bilioni 3.2.
Russia imechangia karibu sifuri katika Official Development Assistance (ODA).

Haya si maoni. Hizi ni takwimu.

Wakati mwingine katika siasa tunajidanganya kwamba washirika wanaweza kubadilishwa kwa urahisi. Historia inaonyesha sivyo.

Marekani na Umoja wa Ulaya hawatoi fedha pekee.

Wamekuwa nguzo muhimu katika:

mapambano dhidi ya UKIMWI na malaria,
chanjo na mifumo ya afya,
elimu,
maji safi,
kilimo,
uwekezaji wa sekta binafsi,
teknolojia,
mafunzo ya wataalamu,
na upatikanaji wa masoko ya kimataifa.

Pengo litakalotokana na kupungua kwa ushirikiano huo haliwezi kuzibwa kwa picha za viongozi kukutana au mikataba michache ya kisiasa.

Mataifa hayajengwi kwa alama za kidiplomasia; yanajengwa kwa maslahi halisi ya wananchi.

Swali ambalo viongozi wanapaswa kujiuliza si kama tunaweza kuwa marafiki wa Russia.

Swali ni:

Je, Russia inaweza kuchukua mzigo wa afya, elimu, uwekezaji, biashara na maendeleo ambao Marekani na Umoja wa Ulaya wameubeba kwa miongo kadhaa?

Mpaka sasa, jibu la ukweli ni hapana.

Hatari kubwa zaidi si kupoteza misaada.

Hatari kubwa ni kupoteza imani.

Mataifa yanaweza kuishi bila misaada kwa muda fulani.

Lakini ni vigumu kuishi bila imani ya wawekezaji, masoko ya kimataifa, taasisi za kifedha na washirika wa maendeleo.

Fedha za dunia zina tabia moja:

Hukimbilia kwenye utulivu, uwazi wa kisiasa na taasisi zinazoaminika.

Ndiyo maana nchi yenye busara haiharibu madaraja kabla haijajenga mengine.

Na hata kama imeamua kujenga daraja jipya kuelekea Moscow, ni hatari kubomoa madaraja yaliyoiunganisha na Washington na Brussels kwa zaidi ya nusu karne.

Kwa sababu katika siasa za kimataifa, si kila rafiki mpya ana uwezo wa kuchukua nafasi ya rafiki wa zamani.

Na katika wakati ambao Tanzania inahitaji uwekezaji zaidi, ajira zaidi, teknolojia zaidi na masoko zaidi, taifa linapaswa kuwa makini sana lisije likachanganya uhuru wa kidiplomasia na kujitenga kidiplomasia.

Uzalendo wa kweli si kupiga picha na mataifa makubwa; uzalendo wa kweli ni kuhakikisha maamuzi ya leo hayaleti gharama ambazo wananchi wa kawaida watazilipa kesho.
 
Kwanini akili inawaza kusaidiwa saidiwa tu?
Sisi kama taifa tutaanza lini kuwaza kujitegemea?
Kwa nini kuwaza kujitegemea iwe baada ya kuiba uchaguzi na kuua raia wako? Haiwezekani kuwaza kutosaidwa na kujitegemea tukiwa na chaguzi halali za haki na bila mauaji ya raia?
 
Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache.

Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b.

Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia €1.2 billion sawa na Tshs 3.663 trillion kwa mwaka kupitia bajeti, afya, elimu, na maji.

Mahusiano baina ya Marekani (U.S. bilateral relations) yanatoa wastani wa $2.8 bilioni kwa mwaka sawa na Tshs 7.5 trillion kupitia uwekezaji, misaada ya maendeleo na ufadhili wa afya na elimu.

View attachment 3601276

Tunaenda kupoteza frusa ya mikopo na misaada mingi kwenye miradi ya Maji, kilimo, barabara, reli, shule/vyuo.

Watoto wetu wengi wanasoma US na nchi za EU wachache sana wako Urusi, scholarships nyingi, research nyingi tunafanya na vyuo vya US na EU, biashara nyingi na investment kubwa, pesa nyingi tumewekeza Ulaya.

Miradi mingi mikubwa inaenda kusimamia kama sio kufa kwa kukimbilia ushirika na Urusi.

Imeelezewa kuwa kwenye ziara hii masharti makubwa ya Urusi kwa Tanzania ni kupewa miradi ya madini hasa Uranium.

Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.
Taifa limepata hasara sana awamu hii.
 
Back
Top Bottom