Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
... Watu wanasahau kwamba sasa, Duniani, ni kila nchi ijali uchumi na hali za raia wake zenyewe! ... na hili liliwekwa wazi mno na Trump mara baada ya kuapishwa kwamba sasa ni 'America and Americans FIRST' na wapinzani walishangilia sana hali hiyo ila sijui wamesahau lini ....! MBONGO BWANA!Kujitegemea ndio kitu hatukitaki, tumeshazoea misaada kiasi cha kuhisi tupo duniani kupokea misaada ya wazungu.
Walioshangilia kukatwa kwa USAID ndio hao leo wanasema tunahitaji misaada.... Watu wanasahau kwamba sasa, Duniani, ni kila nchi ijali uchumi na hali za raia wake zenyewe! ... na hili liliwekwa wazi mno na Trump mara baada ya kuapishwa kwamba sasa ni 'America and Americans FIRST' na wapinzani walishangilia sana hali hiyo ila sijui wamesahau lini ....! MBONGO BWANA!
... tunahangaika na watu wasio na 'memory' kabisa au tuseme tu HAZIMNAZO!Walioshangilia kukatwa kwa USAID ndio hao leo wanasema tunahitaji misaada.
Basi wasingeendq Urusi wangebaki tu tujitegemee.Kwanini akili inawaza kusaidiwa saidiwa tu?
Sisi kama taifa tutaanza lini kuwaza kujitegemea?
Mimi ninatofautiana na wewe katika hili.Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache.
Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b.
Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia €1.2 billion sawa na Tshs 3.663 trillion kwa mwaka kupitia bajeti, afya, elimu, na maji.
Mahusiano baina ya Marekani (U.S. bilateral relations) yanatoa wastani wa $2.8 bilioni kwa mwaka sawa na Tshs 7.5 trillion kupitia uwekezaji, misaada ya maendeleo na ufadhili wa afya na elimu.
Tunaenda kupoteza frusa ya mikopo na misaada mingi kwenye miradi ya Maji, kilimo, barabara, reli, shule/vyuo.
Watoto wetu wengi wanasoma US na nchi za EU wachache sana wako Urusi, scholarships nyingi, research nyingi tunafanya na vyuo vya US na EU, biashara nyingi na investment kubwa, pesa nyingi tumewekeza Ulaya.
Miradi mingi mikubwa inaenda kusimamia kama sio kufa kwa kukimbilia ushirika na Urusi.
Imeelezewa kuwa kwenye ziara hii masharti makubwa ya Urusi kwa Tanzania ni kupewa miradi ya madini hasa Uranium.
Samia kajipeleka mwenyewe Urusi kwa sababu zake; Tanzania hatuna sababu ya kujikabidhi kwingine kokote kama taifa tegemezi la wengine.Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.
CCM kitatengemea Wafabiashara wakichangie sasa Vikwanzo vikiwekwa Wafanyabiashara watapata wapi dollars za kufanya biashara? Kwasababu pesa zetu zinajuliksna East Africa tu, Uchukue pesa zetu za madafu ukanunulie mafuta utauziwa?chama kipi bongo kinaendeshwa pasipo kutembeza bakuli?
Anajiuza na kutuchuuza. Hafai hata kuongoza kundi la nyumbuTunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache.
Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b.
Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia €1.2 billion sawa na Tshs 3.663 trillion kwa mwaka kupitia bajeti, afya, elimu, na maji.
Mahusiano baina ya Marekani (U.S. bilateral relations) yanatoa wastani wa $2.8 bilioni kwa mwaka sawa na Tshs 7.5 trillion kupitia uwekezaji, misaada ya maendeleo na ufadhili wa afya na elimu.
Tunaenda kupoteza frusa ya mikopo na misaada mingi kwenye miradi ya Maji, kilimo, barabara, reli, shule/vyuo.
Watoto wetu wengi wanasoma US na nchi za EU wachache sana wako Urusi, scholarships nyingi, research nyingi tunafanya na vyuo vya US na EU, biashara nyingi na investment kubwa, pesa nyingi tumewekeza Ulaya.
Miradi mingi mikubwa inaenda kusimamia kama sio kufa kwa kukimbilia ushirika na Urusi.
Imeelezewa kuwa kwenye ziara hii masharti makubwa ya Urusi kwa Tanzania ni kupewa miradi ya madini hasa Uranium.
Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.
Heshima imepungua inabidi aongezewe.PHD ya Heshima ina uhusiano gani na mambo ya ujuzi?
Hakuna mtu aliyesema tunajikabidhi.Mimi ninatofautiana na wewe katika hili.
Hii tabia ya "kujikabbidhi" kwa hao unaowaita wa Magharibi hakuna tofauti yoyote na hiyo anayofanya Samia sasa akitapatapa kuokoa uovu wake.
Hatuzihitaji !Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache.
Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b.
Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia €1.2 billion sawa na Tshs 3.663 trillion kwa mwaka kupitia bajeti, afya, elimu, na maji.
Mahusiano baina ya Marekani (U.S. bilateral relations) yanatoa wastani wa $2.8 bilioni kwa mwaka sawa na Tshs 7.5 trillion kupitia uwekezaji, misaada ya maendeleo na ufadhili wa afya na elimu.
Tunaenda kupoteza frusa ya mikopo na misaada mingi kwenye miradi ya Maji, kilimo, barabara, reli, shule/vyuo.
Watoto wetu wengi wanasoma US na nchi za EU wachache sana wako Urusi, scholarships nyingi, research nyingi tunafanya na vyuo vya US na EU, biashara nyingi na investment kubwa, pesa nyingi tumewekeza Ulaya.
Miradi mingi mikubwa inaenda kusimamia kama sio kufa kwa kukimbilia ushirika na Urusi.
Imeelezewa kuwa kwenye ziara hii masharti makubwa ya Urusi kwa Tanzania ni kupewa miradi ya madini hasa Uranium.
Tujiulize, tangu Mrusi atusaidie kwenye vita ya Kagera almost 40 years, ni kipi kingine tangible alichotusaidia kiuchumi na kijamii, anataka kutumia matatizo yetu ya Oktoba 29 kufanya unyang'anyi wa rasilimali zetu kupitia viongozi wenye tamaa.
Kiranga KichuguuKama hujui Historia; Tanzania imekuwa na uhusiano mzuri na Urusi tangia miaka ya 1970. Kuna wasomi wengi tu wakiwemo madactari bingwa wamesoma Urusi. Nafikiri aombe pia kupatiwa scholarships za masomo ya Sayansi..fursa ambayo miaka ya nyuma ilikuwepo na ilitusaidia sana kupata madactari Bingwa.
Sisi hatuendi Urusi kuunga mkono vita yake na Ukraine au pengine Kuisaidia Urusi? ILE NI FRIENDLY VISIT!.
Kitendo cha kufikiri kuwa, hata Nchi ya kuitembelea inabidi upangiwe na wakoloni; ni ukosefu wa maarifa au niseme; ni utumwa wa kifkra!!!
TANZANIA HAIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE!!!
Argument from tradition logical fallacy.
Non Aligned Movement bado ipo...Argument from tradition logical fallacy.
Hii si non alignment, hii ni Mafia style filial kissing of Pope Putin's ring.Non Aligned Movement bado ipo...
Kwa nini kuwaza kujitegemea iwe baada ya kuiba uchaguzi na kuua raia wako? Haiwezekani kuwaza kutosaidwa na kujitegemea tukiwa na chaguzi halali za haki na bila mauaji ya raia?Kwanini akili inawaza kusaidiwa saidiwa tu?
Sisi kama taifa tutaanza lini kuwaza kujitegemea?
Taifa limepata hasara sana awamu hii.Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache.
Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b.
Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia €1.2 billion sawa na Tshs 3.663 trillion kwa mwaka kupitia bajeti, afya, elimu, na maji.
Mahusiano baina ya Marekani (U.S. bilateral relations) yanatoa wastani wa $2.8 bilioni kwa mwaka sawa na Tshs 7.5 trillion kupitia uwekezaji, misaada ya maendeleo na ufadhili wa afya na elimu.
View attachment 3601276