Ziara ya Samia nchini Urusi inakwenda kutukosesha fursa nyingi za maendeleo kutoka nchi za Magharibi

Kutegemea Urusi kwenye misaada na ushirika wa maendeleo ni kupoteza muda tu. Uchumi wa Urusi hauwezi hata kulingana na 2 States za US California na Texas.
 
A simple question, Samia kaenda Urusi kufanya nini.
 
Ingawa mtu hachaguliwi rafiki, ni ngumu adui wa rafiki yako kuwa rafiki halafu urafiki wenu ukaendelea kama mwanzo.
 
Kwa nini kuwaza kujitegemea iwe baada ya kuiba uchaguzi na kuua raia wako? Haiwezekani kuwaza kutosaidwa na kujitegemea tukiwa na chaguzi halali za haki na bila mauaji ya raia?
Inawezekana.
 
CCM kitatengemea Wafabiashara wakichangie sasa Vikwanzo vikiwekwa Wafanyabiashara watapata wapi dollars za kufanya biashara? Kwasababu pesa zetu zinajuliksna East Africa tu, Uchukue pesa zetu za madafu ukanunulie mafuta utauziwa?
Mimi na wewe tuombee vikwazo vije ili Ccm waumie, si sawa?
 
Mimi na wewe tuombee vikwazo vije ili Ccm waumie, si sawa?
Ndiyo waumie CCM na Viongozi wa Serikali wote na Account za pesa walizofungua Ulaya na Marekani hawata weza kuzitoa zita blockiwa na Mali zao kutaifishwa, hawataweza tena kufungua Account za Bank Ulaya na Marekani, na watazuiliwa kuingia Ulaya na Marekani wao na familia zao. Wataweza kusafiri kwenda Uarabuni na China na Ulaya Mashariki kwenye vi nchi vidogo vidogo, Raisi wako si alimshauri Raisi Ruto na yeye awauwe Raia wake wakiandamana yeye Ruto hawezi kufanya mauaji kwanza Siasa Za Kenya ni Siasa za Magharibi na siyo Siasa za China na Urusi, ndiyo Maana Kenya huwezi kusikia Serikali ya Ruto ikiwafunga wapinzani wala kuwateka na kuwaua, wala kuwaengua kwenye chaguzi ili Wagombea wake wapite bila kupigwa, Siasa zetu zimekua Ngumu kwasababu ya Nyerere kukiunganisha Chama cha CCM na chama cha kikomunist kutoka China ili wawe marafiki na kama Nyerere angefata Siasa za Uingereza na CCM wagekua marafiki na chama kuto Uingereza leo hii usikia Polepole, Mdude kuuwawa na Mauaji ya October 29 yasingetokea, kwakifupi CCM itchiness na Siasa za Urusi na China.
 
Chawa wa EU akiwa kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…