A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,662 Reaction score 5,558 Jun 5, 2026 #101 MKANGAFFU said: Kutunukiwa Phd ya heshima. Click to expand... Haiwezi kuondoa UKILAZA!.
B Bravo Mike JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 576 Reaction score 672 Jun 5, 2026 #102 Wao wa magharibi wafanye biashara na Russia ya matrilioni ya madola kupitia chini ya kapet, ila nyinyi hamruhusiwi kufanya biashara yoyote ili muendelee kuwa ombaomba kwao.
Wao wa magharibi wafanye biashara na Russia ya matrilioni ya madola kupitia chini ya kapet, ila nyinyi hamruhusiwi kufanya biashara yoyote ili muendelee kuwa ombaomba kwao.