Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

Hakuna wakati wizara ya mambo ya nje imekuwa hovyo kama awamu hii na ni kwa sababu ya ushamba wa mtu mmoja.
 
Zile mbwembwe za Magufuli na Museveni mwenye Mradi huo za miaka 5 iliyopita hazijaweza kuanzisha ujenzi wa hilo Bomba, eti Kabudi na macho yale ya kutisha na Changamoto ya kupumua, Wafaransa wakampenda na kukubali kumpa matrilioni kujenga Mradi wa nchi nyingine. Mwambie Magufuli na CCM ujinga huo!
 
Uliishia darasa la ngapi?
 
Hilo bomba ni mchocheo tu kila mwaka, mwisho wa siku litapitia Kenya huko tubaki na makaratasi yasio na maana.
Mkuu kuni mbichi bado, tuendelee kupepea na michochea huenda mchocheo utajibu! 😂 😂
Tutazindua huu mradi mpaka mitano iishe.

Everyday is Saturday................................😎
 
Kabud Hana mammals yeyote Yale K
Mpiga zumari wa Lumumba, Kabudi ni msemaji wa serikali ya Uganda . Je unajua chanzo cha ucheleweshaji wa hili bomba?
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Kabud Hana mammals yeyote Yale K

Mpiga zumari wa Lumumba, Kabudi ni msemaji wa serikali ya Uganda . Je unajua chanzo cha ucheleweshaji wa hili bomba?
Endelea kufikiri kwa kutumia makalio
 
Chadema wanasemaje?[emoji16]
Mbona nasikia CDM imekufa, au chadema ipi inayoongelewa hapa? Mi nadhani muda mwingine mnabishana na vijana wa Kitanzania wasio na itikadi yyt ila munadhani ni CDM.
 
Kutushirikisha ni muhimu maana sehemu kubwa ya hilo bomba inapita kwenye ardhi yetu,
 
Yakokoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…