Ziara za Lissu hazina Tija na matokeo Chanya kwa CHADEMA

Ziara hazina tija, unazifuatilia za nini?
 
Fanyeni utafiti kidogo!! Huyu wananchi hawamkubali kabisa. Naamini hata Ubunge tu hawezi kupata. Ukitaka amini usipotaka shauri yako
 
Vipi kuhusu ziara za hilo linalokwenda kukopa Korea kwa masharti magumu. Hao wanaolikopesha wanapata wapi pesa za kukopesha? Wewe huoni kama hazina tija au kwasababu wewe ni zee jinga linaloishi. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
CCM itashinda kwa kishindo sana uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu hapo Mwakani. Hii ni kutokana na utekelezaji mzuri wa ilani yake pamoja na usikivu wake na kuwa karibu na wananchi.
Usikivu upi, kama ajira hakuna, mazao ya wakulima vijini bei duni na sababu kubwa njia ni mbovu, mishahara ya wafanyakazi midogo, kikokotoo hovyo, bima ya afya kwa wote ovyo, Huduma kwa jamii ovyo, Mahakama na POLISI Rushwa imekithiri, Shule za msingi na sekondari michango kede kede afadhali ata umsomeshe mwanao shule za kulipia huku elimu mbovu. Wata shinda tu kwa kuiba kura si kwa uhalali.
 
Za lissu hazina tija ila ziara za nchimbi na makala ndo zenye tija??

Hii nchi Ina matahahiira wengi
 
Punguza Ujinga boss Ziara za LISSU zingekuwa hazina Tija hata wewe usingeandika leo
Pia CCM na SERIKALI kupitia POLISI WASINGEWANYIMA VIWANJA VYA MIKUTANO
Jiulize kwanini wanawanyima VIWANJA?
Ziara za Lissu zimejaa maneno ya upotoshaji na uongo tu pamoja na kuigawa CHADEMA. Sasa mfano swali la Lissu la kusema sijuwi CHADEMA walimpokeaje Nyarandu,unaona lina tija gani na faida gani kwa chama? Mtu unayejitambua unaweza vipi kuuliza au kuzungumza jambo hilo?
 
Za lissu hazina tija ila ziara za nchimbi na makala ndo zenye tija??

Hii nchi Ina matahahiira wengi
Ziara za Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi zimekuwa na tija kubwa sana na zenye kuleta matumaini kwa wananchi
 
Wewe nilishakupuuza tu maana najuwa huna akili kabisa.
 
Ziara za saa100 naona zinafanikiwa kuongeza ushoqer na uuzaji wa mali za watanganyika.
 
Haya ndio matamanio ya Kila mfuasi wa chama la majizi a.k.a ccm.
 
Hiki ni kipindi sahihi cha PROPAGANDA, na Sasa hivi humu wako wengi waliotoka kwenye mafumzo ya propaganda, labda ukiwemo na wewe. So endelea kumpaka mama Yako mafuta coz bila yeye hata haya mafumzo usingeyapata. Kwa ujumla Mimi nimekuelewa coz hii ndo kazi Yako na bila kufanya hivi ugali hupati!
 
Mimi hupenda kuuzungumza UKWELI na siyo propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…