Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Chama hakijawahi kukosea,wanakosea Wananchi kama nyie hampo tayari kubadilika hakuna maana yoyote.Hiki unachokisema ni kweli kabisa CHADEMA kuna mahali wanakosea, lkn wakijiweka sawa kidogo tu wataeleweka sana kwa raia
Amini nakuambia huku mtaani raia hawamuelewi kabisa Samia, anaonekana ndio Rais aliewahi kutokea kwenye nchi hii mwenye uelewa mdogo bisha nije na fact
Vyama vyote vitakuja na kupita ni mlango wa watu kupata fedha na madaraka.
Nyie wananchi masikini ndio wenye shida.