johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hao hawataki yeye ni team Paul plus Tumblr 😄😄😄Vipi kuhusu ziara za Makalla na Nchimbi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hawataki yeye ni team Paul plus Tumblr 😄😄😄Vipi kuhusu ziara za Makalla na Nchimbi?
Usifikiri kila mtu ni mvuta bangi.Ukishavuta bangi unaanza kuhisihisi vitu tu.
Zinaendelea vizuri sana na zimekuwa na tija kubwa sana kwa wananchi,kwa kuwa wananchi wanapata kusikia kile walicho na kiu nacho na kupewa majibu stahiki yenye kukata kiu yao. Ndio maana unaona watu wamekuwa wakifurika sana kwenye mikutano ya CCM wakiwa na nyuso za tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana.Vipi kuhusu ziara za Makalla na Nchimbi?
Kazi unayo iweza wewe kwa ufasaha ni umbea umbea tuHao hawataki yeye ni team Paul plus Tumblr 😄😄😄
Samahani Lakini nimemgusa Tumblr 😂😂😂😂Kazi unayo iweza wewe kwa ufasaha ni umbea umbea tu
Unahitaji ushauri wa kisaikolojia maana kama hujasoma na unaita umbeya, unakuwa unaonyesha namna ulivyo na tatizo kubwa sana kichwani mwako.Sijasoma hizo ngonjera, ila hayakuhusu...
Nasema kuwa kinachokusumbua wewe ni umbea umbea na unafikiSamahani Lakini nimemgusa Tumblr 😂😂😂😂
Ukubali au ukatae lakini ukweli ndio huo kuwa ziara za Lissu hazina Tija yoyote ile.inajichosha tu akili na mwili.
Kwa sasa Mwansansu PhD umemuweka kapuni unatumia Tumblr ATM 😂😂😂🤩🤣Nasema kuwa kinachokusumbua wewe ni umbea umbea na unafiki
Kumbe unajijua kuwa una tatizo kichwani, basi tiba itaingia haraka. Maana usiku, hulali unawaza pakuche uje uandike migazeti, isiyo na kichwa wala miguu. Tafuta tiba hujachelewa.Unahitaji ushauri wa kisaikolojia maana kama hujasoma na unaita umbeya, unakuwa unaonyesha namna ulivyo na tatizo kubwa sana kichwani mwako.
Narudia kusema tena kuwa unatatizo kubwa sana kichwani mwako. Unahitaji kuonana na daktari haraka sana iwezekanavyo.Kumbe unajijua kuwa una tatizo kichwani, basi tiba itaingia haraka. Maana usiku, hulali unawaza pakuche uje uandike migazeti, isiyo na kochwa wala miguu. Tafuta tiba hujachelewa.
Wewe endelea na na utoto wako.Kwa sasa Mwansansu PhD umemuweka kapuni unatumia Tumblr ATM 😂😂😂🤩🤣
Kama hazina tija wewe juha chakuwasha Nini si utulize kijambio Chadema iendelee kukosa tijaNdugu zangu Watanzania,
Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji kuwa na sera mbadala zidi ya yule aliyepo madarakani,inahitaji ushawishi wa hoja nzito na sera bora zenye kuleta matumaini kwa watu. Inahitaji mpangilio mzuri wa mawazo na akili iliyotulia. Siyo suala la kufanya mikutano mingi wala kutembelea vijiji vingi wala kusafiri umbali mrefu wala kuongea muda mrefu jukwaani.
Ili ufanikiwe kuteka hisia na mawazo ya watu na kupata uungwaji mkono , inategemeana unazungumzia nini? Sera zako ni zipi kwa kila kundi? Ni lazima watu waone Tumaini kabla ya kukupa imani yao.
Ukiangalia na kufuatilia kwa umakini ziara za Lissu kwa hakika utagundua kuwa ni za kupoteza nguvu na kujichosha tu mwili na akili na zisizo na matokeo yoyote Chanya kwa CHADEMA. Kwa sababu hakuna kitu chochote kile chenye kugusa hisia na maisha ya watu unachoona akizungumza na kutoa katika mdomo wake .hana mpangilio wa mawazo wa kuelewa lengo lake ni lipi.ni mtu anaongea tu kulingana na litakalomjia kichwani mwake.
Mfano utasikia yupo jukwaani anaongea kuwa sijuwi chama kilimpokeaje Nyarandu? Swali linakuja jambo hili linawagusa na kuwahusu vipi Wananchi? Lina tija gani kwao? Wao ndio waliompokea? Halafu hapohapo kwa usahaulifu wake anasahau kuwa mtu huyo huyo anayemshambulia aliacha ubunge wake na akaungana nao na akaenda hadi hospitalini kumjulia hali. hapa unaweza kuona Lissu ana matatizo fulani kichwani mwake yaliyo makubwa sana.
Kiufupi ni kuwa mikutano yake haina ajenda wala sera, na ndio maana amekuwa mtu wa kutunga uongo,uzushi, uchonganishi na habari za kupikwa zisizo na ushahidi wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya maneno matupu ya kizushi na chuki binafsi. Ndio maana unaona na kushuhudia hata habari zake zikiwa hazina msisimko wala kuteka mijada ya kisiasa wala kuwagusa wenye akili Timamu na wanaojitambua.kwa kuwa ni mtu anayejizungumzia tu lolote linalotangulia kutoka mdomoni mwake.
Kinachomsumbua Lissu ni mihemuko iliyopita kiasi,kukosa umakini,kuongea ongea hovyo hovyo kwa kila neno linalomjia Mdomoni,kukosa mpangilio na maandalizi ya nini akaongee jukwaani,kujiona anajuwa kila kitu na yupo sahihi kwa kila kitu na yeye ndiye ana akili kuliko mwingine yeyote yule, na kwamba watanzania wote walio mbele yake ni wajinga na ndio maana anataka awaambie ujinga wowote ule akifikiria wanameza na kunyonya tu kama madodoki.
Ndio maana unaona kuna mambo Ambayo unaona yalipaswa kuzungumzwa kwenye vikao vyao vya ndani lakini utaona yeye akiongea kwa kuripuka jukwaani. Kwa sababu ni mtu aliyekosa utulivu,Busara, hekima,staha na nidhamu ya kuchunga ulimi anaopaswa kuwa nao kiongozi.Ndio maana habari zake hazichukuliwi kwa uzito wowote ule.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kazi nafanya na wala Sikai vibarazani kupiga porojo na umbeya kama WEWE.Punguani katika ubora wako. Kama ziara zake hazina tija, shangilia, furahia na uombee aendelee hivyo hivyo. Ya nini kupiga kelele za wehu?
Fanya kazi, kuliko kuishi kwa kutegemea idadi ya posts za kipunguani unazozileta jF.
CHADEMA Inaendelea kupuuzwa tu .ndio maana huoni hata wanachama wapya wakijiunga CHADEMA.maana wanajuwa ni chama cha kibabaishaji tu.Ka
Kama hazina tija wewe juha chakuwasha Nini si utulize kijambio Chadema iendelee kukosa tija
Luca,Usifikiri kila mtu ni mvuta bangi.