Ziara za Lissu hazina Tija na matokeo Chanya kwa CHADEMA

Ndugu zangu Watanzania,

Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji kuwa na sera mbadala zidi ya yule aliyepo madarakani,inahitaji ushawishi wa hoja nzito na sera bora zenye kuleta matumaini kwa watu. Inahitaji mpangilio mzuri wa mawazo na akili iliyotulia. Siyo suala la kufanya mikutano mingi wala kutembelea vijiji vingi wala kusafiri umbali mrefu wala kuongea muda mrefu jukwaani.

Ili ufanikiwe kuteka hisia na mawazo ya watu na kupata uungwaji mkono , inategemeana unazungumzia nini? Sera zako ni zipi kwa kila kundi? Ni lazima watu waone Tumaini kabla ya kukupa imani yao.

Ukiangalia na kufuatilia kwa umakini ziara za Lissu kwa hakika utagundua kuwa ni za kupoteza nguvu na kujichosha tu mwili na akili na zisizo na matokeo yoyote Chanya kwa CHADEMA. Kwa sababu hakuna kitu chochote kile chenye kugusa hisia na maisha ya watu unachoona akizungumza na kutoa katika mdomo wake .hana mpangilio wa mawazo wa kuelewa lengo lake ni lipi.ni mtu anaongea tu kulingana na litakalomjia kichwani mwake.

Mfano utasikia yupo jukwaani anaongea kuwa sijuwi chama kilimpokeaje Nyarandu? Swali linakuja jambo hili linawagusa na kuwahusu vipi Wananchi? Lina tija gani kwao? Wao ndio waliompokea? Halafu hapohapo kwa usahaulifu wake anasahau kuwa mtu huyo huyo anayemshambulia aliacha ubunge wake na akaungana nao na akaenda hadi hospitalini kumjulia hali. hapa unaweza kuona Lissu ana matatizo fulani kichwani mwake yaliyo makubwa sana.

Kiufupi ni kuwa mikutano yake haina ajenda wala sera, na ndio maana amekuwa mtu wa kutunga uongo,uzushi, uchonganishi na habari za kupikwa zisizo na ushahidi wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya maneno matupu ya kizushi na chuki binafsi. Ndio maana unaona na kushuhudia hata habari zake zikiwa hazina msisimko wala kuteka mijada ya kisiasa wala kuwagusa wenye akili Timamu na wanaojitambua.kwa kuwa ni mtu anayejizungumzia tu lolote linalotangulia kutoka mdomoni mwake.

Kinachomsumbua Lissu ni mihemuko iliyopita kiasi,kukosa umakini,kuongea ongea hovyo hovyo kwa kila neno linalomjia Mdomoni,kukosa mpangilio na maandalizi ya nini akaongee jukwaani,kujiona anajuwa kila kitu na yupo sahihi kwa kila kitu na yeye ndiye ana akili kuliko mwingine yeyote yule, na kwamba watanzania wote walio mbele yake ni wajinga na ndio maana anataka awaambie ujinga wowote ule akifikiria wanameza na kunyonya tu kama madodoki.

Ndio maana unaona kuna mambo Ambayo unaona yalipaswa kuzungumzwa kwenye vikao vyao vya ndani lakini utaona yeye akiongea kwa kuripuka jukwaani. Kwa sababu ni mtu aliyekosa utulivu,Busara, hekima,staha na nidhamu ya kuchunga ulimi anaopaswa kuwa nao kiongozi.Ndio maana habari zake hazichukuliwi kwa uzito wowote ule.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View: https://youtu.be/OLCXROQqq0Q?si=mBEnj8iwVMFGpF6v
 
hilo la mwisho kwako ndiyo linalosababisha uone hakuna hoja
 
Kama wewe Lucas unajadili Ziara za Tundu Antipas Lisu badala ya zile za komredi Makalla maana yake Lisu anafanikiwa Sana 😂😂
Makalla mwenyewe kwenye ziara zake anamuongelea Lissu na Chadema,anachoweza ni kuvimbisha yale mashavu yake kama paka wa kwenye bar.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji kuwa na sera mbadala zidi ya yule aliyepo madarakani,inahitaji ushawishi wa hoja nzito na sera bora zenye kuleta matumaini kwa watu. Inahitaji mpangilio mzuri wa mawazo na akili iliyotulia. Siyo suala la kufanya mikutano mingi wala kutembelea vijiji vingi wala kusafiri umbali mrefu wala kuongea muda mrefu jukwaani.

Ili ufanikiwe kuteka hisia na mawazo ya watu na kupata uungwaji mkono , inategemeana unazungumzia nini? Sera zako ni zipi kwa kila kundi? Ni lazima watu waone Tumaini kabla ya kukupa imani yao.

Ukiangalia na kufuatilia kwa umakini ziara za Lissu kwa hakika utagundua kuwa ni za kupoteza nguvu na kujichosha tu mwili na akili na zisizo na matokeo yoyote Chanya kwa CHADEMA. Kwa sababu hakuna kitu chochote kile chenye kugusa hisia na maisha ya watu unachoona akizungumza na kutoa katika mdomo wake .hana mpangilio wa mawazo wa kuelewa lengo lake ni lipi.ni mtu anaongea tu kulingana na litakalomjia kichwani mwake.

Mfano utasikia yupo jukwaani anaongea kuwa sijuwi chama kilimpokeaje Nyarandu? Swali linakuja jambo hili linawagusa na kuwahusu vipi Wananchi? Lina tija gani kwao? Wao ndio waliompokea? Halafu hapohapo kwa usahaulifu wake anasahau kuwa mtu huyo huyo anayemshambulia aliacha ubunge wake na akaungana nao na akaenda hadi hospitalini kumjulia hali. hapa unaweza kuona Lissu ana matatizo fulani kichwani mwake yaliyo makubwa sana.

Kiufupi ni kuwa mikutano yake haina ajenda wala sera, na ndio maana amekuwa mtu wa kutunga uongo,uzushi, uchonganishi na habari za kupikwa zisizo na ushahidi wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya maneno matupu ya kizushi na chuki binafsi. Ndio maana unaona na kushuhudia hata habari zake zikiwa hazina msisimko wala kuteka mijada ya kisiasa wala kuwagusa wenye akili Timamu na wanaojitambua.kwa kuwa ni mtu anayejizungumzia tu lolote linalotangulia kutoka mdomoni mwake.

Kinachomsumbua Lissu ni mihemuko iliyopita kiasi,kukosa umakini,kuongea ongea hovyo hovyo kwa kila neno linalomjia Mdomoni,kukosa mpangilio na maandalizi ya nini akaongee jukwaani,kujiona anajuwa kila kitu na yupo sahihi kwa kila kitu na yeye ndiye ana akili kuliko mwingine yeyote yule, na kwamba watanzania wote walio mbele yake ni wajinga na ndio maana anataka awaambie ujinga wowote ule akifikiria wanameza na kunyonya tu kama madodoki.

Ndio maana unaona kuna mambo Ambayo unaona yalipaswa kuzungumzwa kwenye vikao vyao vya ndani lakini utaona yeye akiongea kwa kuripuka jukwaani. Kwa sababu ni mtu aliyekosa utulivu,Busara, hekima,staha na nidhamu ya kuchunga ulimi anaopaswa kuwa nao kiongozi.Ndio maana habari zake hazichukuliwi kwa uzito wowote ule.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe BUMUNDA ni mpiga kampeni wa dalali wa raslimali zetu siku si nyungi utaingia ndani ya 18 za wapigania uhuru tu!
 
Unamtisha nani? Ndio akili yako hiyo? Ninyi ni wasaka Tonge kwaajili ya matumbo yenu. Ndio maana mnatafuna sana michango huko CHADEMA.Embu niambie pesa za Join the chain zipo wapi?
 
kwakweli mikutano yake ni doro mno....

naona anachochea migawanyiko tu ndani ya chama chake,

kwasabb chama chake kikiamua na kuidhinisha kufanya mikutano maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo kule alikokwisha kufanya mikutano yake binafsi, itaonekana hakua na impact yoyote na atafura zaidi na kukasirika zaidi 🐒
 
Lissu Anaendelea kuipasua na kuigawa CHADEMA kila uchwao. Eti anashangaa ni vipi chama kilimpokea Nyarandu. Mdomo wa Lissu haunaga Breki.
 
Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji kuwa na sera mbadala zidi ya yule aliyepo madarakani,inahitaji ushawishi wa hoja nzito na sera bora zenye kuleta matumaini kwa watu. Inahitaji mpangilio mzuri wa mawazo na akili iliyotulia. Siyo suala la kufanya mikutano mingi wala kutembelea vijiji vingi wala kusafiri umbali mrefu wala kuongea muda mrefu jukwaani. Ili ufanikiwe kuteka hisia na mawazo ya watu na kupata uungwaji mkono , inategemeana unazungumzia nini? Sera zako ni zipi kwa kila kundi? Ni lazima watu waone Tumaini kabla ya kukupa imani yao. Ukiangalia na kufuatilia kwa umakini ziara za Lissu kwa hakika utagundua kuwa ni za kupoteza nguvu na kujichosha tu mwili na akili na zisizo na matokeo yoyote Chanya kwa CHADEMA. Kwa sababu hakuna kitu chochote kile chenye kugusa hisia na maisha ya watu unachoona akizungumza na kutoa katika mdomo wake .hana mpangilio wa mawazo wa kuelewa lengo lake ni lipi.ni mtu anaongea tu kulingana na litakalomjia kichwani mwake. Mfano utasikia yupo jukwaani anaongea kuwa sijuwi chama kilimpokeaje Nyarandu? Swali linakuja jambo hili linawagusa na kuwahusu vipi Wananchi? Lina tija gani kwao? Wao ndio waliompokea? Halafu hapohapo kwa usahaulifu wake anasahau kuwa mtu huyo huyo anayemshambulia aliacha ubunge wake na akaungana nao na akaenda hadi hospitalini kumjulia hali. hapa unaweza kuona Lissu ana matatizo fulani kichwani mwake yaliyo makubwa sana. Kiufupi ni kuwa mikutano yake haina ajenda wala sera, na ndio maana amekuwa mtu wa kutunga uongo,uzushi, uchonganishi na habari za kupikwa zisizo na ushahidi wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya maneno matupu ya kizushi na chuki binafsi. Ndio maana unaona na kushuhudia hata habari zake zikiwa hazina msisimko wala kuteka mijada ya kisiasa wala kuwagusa wenye akili Timamu na wanaojitambua.kwa kuwa ni mtu anayejizungumzia tu lolote linalotangulia kutoka mdomoni mwake. Kinachomsumbua Lissu ni mihemuko iliyopita kiasi,kukosa umakini,kuongea ongea hovyo hovyo kwa kila neno linalomjia Mdomoni,kukosa mpangilio na maandalizi ya nini akaongee jukwaani,kujiona anajuwa kila kitu na yupo sahihi kwa kila kitu na yeye ndiye ana akili kuliko mwingine yeyote yule, na kwamba watanzania wote walio mbele yake ni wajinga na ndio maana anataka awaambie ujinga wowote ule akifikiria wanameza na kunyonya tu kama madodoki. Ndio maana unaona kuna mambo Ambayo unaona yalipaswa kuzungumzwa kwenye vikao vyao vya ndani lakini utaona yeye akiongea kwa kuripuka jukwaani. Kwa sababu ni mtu aliyekosa utulivu,Busara, hekima,staha na nidhamu ya kuchunga ulimi anaopaswa kuwa nao kiongozi.Ndio maana habari zake hazichukuliwi kwa uzito wowote ule. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Duuh, mmeelemewa sana aisee.

Spana za Tundu Lissu zimeshawachanganya kiasi kwamba Lumumba yote mmepteana hata umesahau kuwa Paul Makonda anaendelea na maigizo kuibua uozo wa sera mbovu za CCM.

Na umesahau kabisa kuwa Katibu Mkuu wako Emmanuel Nchimbi na mwenezi wake Makalla nao wangendelea na mikutano ya kujaribu kuifufua CCM iliyokwisha kufa, ikaoza na kuanza kunuka..!!

Na ajabu nyingine ya mwaka ni kuwa, mafisi (CCM) kama wewe Lucas Mwashambwa eti yanaweza kushauri mbuzi na kondoo mahali pa kuchungia na pa kulala!

Hao mbuzi na kondoo bila shaka watakuwa wajinga na hawajielewi kabisa.p!!!!

Poleni chawa wa mama a.k.a Mama Abdul!!
 
Back
Top Bottom