Ziara za Makonda hazina tena mvuto, asubiri hatma yake sasa

Ziara za Makonda hazina tena mvuto, asubiri hatma yake sasa

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu,

Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake.

Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
 
Jamaaa anazidi kuwapiga Misumari,Natamani huyu Jamaa awe Rais wa hii nchi atunusuru.
 
Unateseka ukiwa wapi? Namabengo ? Kidamali ? Kiembe samaki ? Gezaulole ? Misenyi ? Goba? Mianzini? Barabara ya 14 ?
 
Wakuu,

Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake.

Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
Taarifa ya kuwa ana ziara umeipata wapi au upo kwenye ziara zake na wewe.
 
Unashangaza SANA na Makonda hakatishwi tamaa na maneno yako kijana wa Lema

Wale wananchi waliokuwa wakionewa kwa miaka kadhaa na hawa Viongozi wa Serikali wanaosema "Unajua mimi nani?" Ndio wanaojua Umuhimu wa Makonda

Lakini wewe kama hujapata changamoto yoyote Arusha basi utaandika tu HovyoHovyo kama ulivyoandika
 
Dogo anapenda makamera,
Sifa kuu mbili za kamera ni kukuangusha au kukuinua

Naona camera za Arusha zimeamua kumpoteza kijana
 
Wakuu,

Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake.

Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
Dogo anavyoona watu na makamera wanammulika Kila alipo na Kila tukio anavimba bichwa kumbe wabaya wake wako kazini

Ukiwa na shule ndogo huwezi kuona mbali athari za hii kitu
 
Back
Top Bottom