Elections 2010 Ziara za mama salma kikwete na magari ya serikali

Elections 2010 Ziara za mama salma kikwete na magari ya serikali

Wakwetu

Senior Member
Joined
Sep 14, 2008
Posts
156
Reaction score
16
Nimengalia kwa makini na kutafakari sana kisha nikaona kuwa kuna watu wanadhani kuwa watanzania wote ni wajinga kwa kiwango wanachotufikiria wao. Sasa hivi mama Salma Kikwete ana ziara Tanzania nzima. Magari anayotumia ni mazuri sana na yapo zaidi ya manne. yale magari hayaingii akilini kuwa ni ya chama cha mapinduzi. Ni magari ya SERIKALI yaliyonunuliwa na kodi za wananchi wavuja jasho ila wanatudanganya kwa kubandika namba za kiraia. Badala ya magari hayo kufanya kazi za serikali leo yanazunguka kufanya kampeni wilaya kwa wilaya. Kwa nini yasihudumie wananchi?
Kwa nini wanatufanya wajinga? anatembelea wilaya na kuongea na kina mama. Je CCM ndio wamemuwezesha au ni pamoja na serikali maana ubavu wake ndio mkuu wa kaya.
 
Na siyo hivyo tu, eti akifika mkoani au wilayani anasomewa taarifa ya mkoa au wilaya. Hata kitoto chao ndivyo kinavyofanya. Wanawadhalilisha sana viongozi wa serikali. Ndiyo tatizo la mama wa kiswahili (pwani).
 
"Ufalme waingia TZ" Fimbo yako ni 310/10/2010. Period.
 
Unategemea nini toka kwa mtu anayetumia milioni 22 kukodi ndege ya serikali kwa ajili ya safari ya masaa matano tu?
 
Back
Top Bottom