Ziara za Tundu Lissu mikoani zina Ubunifu wa Uhutubiaji ndio sababu Wananchi humuona kama Nabii

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.

Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"

Tofauti na mtu kama Zitto au Prof. Lipumba Hotuba Zao ni zile zile miaka yote

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
 
Kumbe na wewe unamkubali huyu mwamba, au siyo.?

Haijalishi, ila huo ndio ukweli.

Lakini cha kuongezea tu ni kuwa public speaking ni sanaa. Na TL ni mbobezi wa sanaa hii..

Lakini kikubwa zaidi, Tundu Lissu si mnafiki, ni mtu mkweli. Kama ulivyosema ni mtu halisi na huyasema mambo ktk uhalisia wake na kamwe hazunguukagi mbuyu. Hiki ndicho kinachofanywa watu wapende kumuona na kusikiliza hotuba zake.

Sifa hii ndiyo inayomwingizaga kwenye migogoro ya mara kwa mara na serikali kwani kuyamwaga mambo kama yalivyo, serikali hutafsiri kuwa huo ni uchochezi...!
 
Kweli umenena lakini pia huyu bwana tumeshindwa kusoma kama ana kashifa zozote;hili nalo linampaisha TL kisiasa hata akipakwa matope
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.

Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"

Tofauti na mtu kama Zitto au Prof. Lipumba Hotuba Zao ni zile zile miaka yote

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
ameeen
 
Mungu wa Mbinguni awabariki [emoji3]
Watanzania wengi wanapenda mipasho na matukio.
Ndio maana utawaona sana kwa Lissu.Ila ikifika siku ya kura huwaoni huko ki viile sababu wengi hawakidhi vigezo vya kupigia kura mfano kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura nchini.

Lissu:
anatembelea kick za matukio badala ya sera na njia mbadala za kupata ufumbuzi wa kero na matatizo ya watanzania.Anatumia muda mwingi kuongelea madhila yake binafsi.Badala ya kuongelea jinsi ya kuwatoa wananchi kwenye hayo anayoyaongea.
Kwamba Lissu anawajaza wananchi sumu,bila kuwapa dawa ya kuiondoa hiyo Sumu.

Lipumba:
anatembea na Udini zaidi huku akichagiza mapambio kwa wadini wenzake walioshika mpini.

Zitto:
Ni msakatonge wa kisiasa.anayetumia majukwaa ya siasa kutafuta namna ya kujipatia ukwasi.
Nguzo yake pia ikiwa pamoja na Udini kama Lipumba.
Kwa sasa hutamsikia Zitto akiongea chochote dhidi ya Serikali maana wamekwisha mpatia anachokitafuta.Analamba sukari huku akiwa na udini lukuki.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.

Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"

Tofauti na mtu kama Zitto au Prof. Lipumba Hotuba Zao ni zile zile miaka yote

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
We jamaa ukishakosa Likes nyingi lazime utupie mada inayohusu Lissu😆😆
 
Knowledge is power
Very knowledgeable kwa lipi?
Fujo?
Sera makini?
Ubishi,
Ujuaji?
Sheria za katiba?
Au hoja zenye mashiko zikiendana na majibu ya kero za kitaifa?
Ebu tujuze vizuri...
 
Wivu utakuua. Huna sifa ya kukosoa ubora wa Lissu
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.

Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"

Tofauti na mtu kama Zitto au Prof. Lipumba Hotuba Zao ni zile zile miaka yote

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Wewe ni Nikodema wa Lissu, usiku mfuasi wa Lissu, mchana upo lumumba
 
Kumbe na wewe unamkubali huyu mwamba, au siyo.?

Haijalishi, ila huo ndio ukweli.

Lakini cha kuongezea tu ni kuwa public speaking ni sanaa. Na TL ni mbobezi wa sanaa hii..

Lakini kikubwa zaidi, Tundu Lissu si mnafiki, ni mtu mkweli. Kama ulivyosema ni mtu halisi na huyasema mambo ktk uhalisia wake na kamwe hazunguukagi mbuyu. Hiki ndicho kinachofanywa watu wapende kumuona na kusikiliza hotuba zake.

Sifa hii ndiyo inayomwingizaga kwenye migogoro ya mara kwa mara na serikali kwani kuyamwaga mambo kama yalivyo, serikali hutafsiri kuwa huo ni uchochezi...!
Usiingie chaka Mzee 🤣🤣 ukaona anampenda LISSU!! Huyu huenda na upepo tu! Anaangalia leo au muda huu atoke vp!!
 
Back
Top Bottom