johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaweza kuacha kazi ukaenda kusikiliza yale majibu yake yenye kuambatana na utafitiKwa kuongezea ni critical thinker na ni very knowledgeable.
Kweli umenena lakini pia huyu bwana tumeshindwa kusoma kama ana kashifa zozote;hili nalo linampaisha TL kisiasa hata akipakwa matopeKumbe na wewe unamkubali huyu mwamba, au siyo.?
Haijalishi, ila huo ndio ukweli.
Lakini cha kuongezea tu ni kuwa public speaking ni sanaa. Na TL ni mbobezi wa sanaa hii..
Lakini kikubwa zaidi, Tundu Lissu si mnafiki, ni mtu mkweli. Kama ulivyosema ni mtu halisi na huyasema mambo ktk uhalisia wake na kamwe hazunguukagi mbuyu. Hiki ndicho kinachofanywa watu wapende kumuona na kusikiliza hotuba zake.
Sifa hii ndiyo inayomwingizaga kwenye migogoro ya mara kwa mara na serikali kwani kuyamwaga mambo kama yalivyo, serikali hutafsiri kuwa huo ni uchochezi...!
Hakika!Kweli umenena lakini pia huyu bwana tumeshindwa kusoma kama ana kashifa zozote;hili nalo linampaisha TL kisiasa hata akipakwa matope
ameeenMakamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.
Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"
Tofauti na mtu kama Zitto au Prof. Lipumba Hotuba Zao ni zile zile miaka yote
Mungu wa Mbinguni awabariki π
Watanzania wengi wanapenda mipasho na matukio.Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.
Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"
Tofauti na mtu kama Zitto au Prof. Lipumba Hotuba Zao ni zile zile miaka yote
Mungu wa Mbinguni awabariki [emoji3]
We jamaa ukishakosa Likes nyingi lazime utupie mada inayohusu LissuππMakamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.
Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"
Tofauti na mtu kama Zitto au Prof. Lipumba Hotuba Zao ni zile zile miaka yote
Mungu wa Mbinguni awabariki π
At his best, Lissu ials a great Man. Hata kama humpendi.utamsikiliza Tu.Mtu msomi unatakiwa kuwa relevant.
Knowledge is powerKwa kuongezea ni critical thinker na ni very knowledgeable.
Very knowledgeable kwa lipi?Knowledge is power
Wivu utakuua. Huna sifa ya kukosoa ubora wa LissuVery knowledgeable kwa lipi?
Fujo?
Sera makini?
Ubishi,
Ujuaji?
Sheria za katiba?
Au hoja zenye mashiko zikiendana na majibu ya kero za kitaifa?
Ebu tujuze vizuri...
Wewe ni Nikodema wa Lissu, usiku mfuasi wa Lissu, mchana upo lumumbaMakamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF.
Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini"
Tofauti na mtu kama Zitto au Prof. Lipumba Hotuba Zao ni zile zile miaka yote
Mungu wa Mbinguni awabariki π
Cjui kwann kila nikiona ππ nakuhis kama FARISAYO!!Mungu wa Mbinguni awabariki π
Usiingie chaka Mzee π€£π€£ ukaona anampenda LISSU!! Huyu huenda na upepo tu! Anaangalia leo au muda huu atoke vp!!Kumbe na wewe unamkubali huyu mwamba, au siyo.?