Ziara za Waziri Mkuu: Uozo wa mifumo, rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya kodi zetu

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,960
Reaction score
2,945
Hivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na waziri mkuu wa Nchi Nachoka mimi mjukuu wa Mwandambo.

Mwingine anatembea na makaratasi yameshakunjamana, ya miaka na miaka, Imagine, huyu ana kesi ya shamba, huyu kiwanja, huyu mafao NSSF hajalipwa, huyu kaonewa kasimamishwa, huyu kavunjiwa duka, huyu n.k. n.k.

Hivi hizi ni issues za kuhitaji attention ya waziri mkuu? Tuna haja gani ya kuwa na serikali za mitaa, madiwani, wabunge, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, mawaziri?

Hebu niambieni nchi gani ambayo utasema ni mfano wa kuigwa barani Africa, wala tusiende Ulaya, tuangalie hata majirani zetu, ni wapi Waziri Mkuu anasikiliza petty cases kama hizi? Hivi tumekuwa vipofu kiasi hiki? Hivi mheshimiwa Waziri Mkuu na wewe unaona sifa kushughulikia hizi kesi?

Ninachoona mimi ni systemic collapse (mifumo haisomani,kila mtu anachojali ni allowances zake na mishahara siku ziende). Hivi Waziri wetu mkuu si atazimia kwa stress.

Tanzania ina watanzania zaidi ya milioni 60. Muheshimiwa Mwigulu, ngoja na mimi nakuja maana nina miezi 6 sijalipwa madai yangu hapa kwa mwajiri wangu namdai laki 4. Mheshimiwa nisaidie nilipwe.
 
Wakati huo huo Mbunge wa eneo husika hata hayupo huko maana na yeye hataki kufunikwa na yeyote. Atajitafutia muda wake naye aende kuwasikiliza na yeye "atrend".

Wananchi wangejua kuwa CCM ya sasa wala haijali hata uwepo wao na shida zao na wakipata nafasi ya kuwapunguza kama ile ya MO29 wanaitumia ipasavyo, wangebadilika na hata wangeweza kuchukua maamuzi magumu sana.
 
Huu utaratibu haujawahi kufanikiwa.
Mrema
Lowasa
Nchemba
Sana unamjenga kisiasa mhusika
Ni ujinga wa hali ya juu. Ila wanasiasa maslahi kama kina Nchemba ndiyo wanaoupenda kwa sababu wanafanikiwa kulaghai wananchi. Wanajua wananchi wengi hawaona upeo wa kuona kuwa mambo kwenye ngazi za chini hayaendi kwa sababu ya ubovu wa viongozi wa juu. Kama ulivyosema... huu mtindo umefanyika sana lakini kadiri unavyofanywa ndivyo uzembe unazidi na kufanya viongozi wa ngazi za chini kuzembea. Nani anaweza kuwa mzuri wa huu upuuzi kuliko marehemu Mrema? Mrema alitingisha nchi na kila kitu kikawa kama kiko chini ya utendaji wake na uzembe haukuisha. NB: HIvi fisadi na mzembe kama Mwingulu anaweza kweli kuwashughulikia walio chini yake wakati wanajua yeye ndiye baba wa uovu?
 
Huu utaratibu haujawahi kufanikiwa.
Mrema
Lowasa
Nchemba
Sana unamjenga kisiasa mhusika
Magufuli
Makonda
Wasira nk

Na bado matatizo hayaishi, mifumo ndio shida, wakiambiwa Katiba ibadilishwe wanasema katiba haileti chakula mezani,ujinga mtupu Acha wahangaike.
Na CHADEMA wakiingia mtaani wiki tu inatosha kumaliza hii serikali maana watu wamekata tamaa.
 
watu wanaamini viongozi watatatua matatizo yao ila bado kiongozi ataagiza swala lifanyiwe kazi watu wakikaa chini mwenye haki anapata haki.
shida sio kwenda kupanga foleni na madai yako shida ni kwamba unachokidai ni halali yako kwelii. Sio mtu kasikia kiongozi anakuja mahali kusikiliza kero ananyanyuka na documents za kesi alizoshindwa
 
Hivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na waziri mkuu wa Nchi Nachoka mimi mjukuu wa Mwandambo.

Mwingine anatembea na makaratasi yameshakunjamana, ya miaka na miaka, Imagine, huyu ana kesi ya shamba, huyu kiwanja, huyu mafao NSSF hajalipwa, huyu kaonewa kasimamishwa, huyu kavunjiwa duka, huyu n.k. n.k.

Hivi hizi ni issues za kuhitaji attention ya waziri mkuu? Tuna haja gani ya kuwa na serikali za mitaa, madiwani, wabunge, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, mawaziri?

Hebu niambieni nchi gani ambayo utasema ni mfano wa kuigwa barani Africa, wala tusiende Ulaya, tuangalie hata majirani zetu, ni wapi Waziri Mkuu anasikiliza petty cases kama hizi? Hivi tumekuwa vipofu kiasi hiki? Hivi mheshimiwa Waziri Mkuu na wewe unaona sifa kushughulikia hizi kesi?

Ninachoona mimi ni systemic collapse (mifumo haisomani,kila mtu anachojali ni allowances zake na mishahara siku ziende). Hivi Waziri wetu mkuu si atazimia kwa stress.

Tanzania ina watanzania zaidi ya milioni 60. Muheshimiwa Mwigulu, ngoja na mimi nakuja maana nina miezi 6 sijalipwa madai yangu hapa kwa mwajiri wangu namdai laki 4. Mheshimiwa nisaidie nilipwe.
Mbaya zaidi hakuna anayemtilia maanani.
Ni kwa sababu hana mamlaka ya kimaadili.Yeye mwenyewe haamini kama anamaanisha kwa sababu naye ni fisadi mkubwa.
 
Hivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na waziri mkuu wa Nchi Nachoka mimi mjukuu wa Mwandambo.

Mwingine anatembea na makaratasi yameshakunjamana, ya miaka na miaka, Imagine, huyu ana kesi ya shamba, huyu kiwanja, huyu mafao NSSF hajalipwa, huyu kaonewa kasimamishwa, huyu kavunjiwa duka, huyu n.k. n.k.

Hivi hizi ni issues za kuhitaji attention ya waziri mkuu? Tuna haja gani ya kuwa na serikali za mitaa, madiwani, wabunge, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, mawaziri?

Hebu niambieni nchi gani ambayo utasema ni mfano wa kuigwa barani Africa, wala tusiende Ulaya, tuangalie hata majirani zetu, ni wapi Waziri Mkuu anasikiliza petty cases kama hizi? Hivi tumekuwa vipofu kiasi hiki? Hivi mheshimiwa Waziri Mkuu na wewe unaona sifa kushughulikia hizi kesi?

Ninachoona mimi ni systemic collapse (mifumo haisomani,kila mtu anachojali ni allowances zake na mishahara siku ziende). Hivi Waziri wetu mkuu si atazimia kwa stress.

Tanzania ina watanzania zaidi ya milioni 60. Muheshimiwa Mwigulu, ngoja na mimi nakuja maana nina miezi 6 sijalipwa madai yangu hapa kwa mwajiri wangu namdai laki 4. Mheshimiwa nisaidie nilipwe.
Marudioo mkuu.majaliwa kapita kote huko alikutana na banda la mabati la milion 8 kuwekea mizigo na jamaa wakamaliza project..hai sasa mf kama maji watoto wasichote shule hazina visima wala maji shehe hapo napita tu
 
Aingii akilini kwa anachofanya Waziri Mkuu. Kama mkoa una kero, basi mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wafukuzwe kazi maana wameshindwa kazi. Shida anayewateua ni rais. Hawa wamehusika sana katika uchaguzi na kuwafuta inakuwa ngumu. Kwa hiyo tulipofika ni pagumu sana. Hawa wakuu wa mkoa wangefanya haya mambo anayofanya waziri mkuu angalu wananchi wangekuwa na matumaini lakini kwa sasa watafikiwa wangapi na kero ni kila mahali. Hawa miungu watu waliokaa serikalini kwenye idara mbalimbali lao ni moja tu na wana connection ya kulindana sana ndiyo maana uongozi wa nchi yetu ni mgumu sana. Kwa ujumla tu kwenye hii ziara, inaonyesha jinsi mwananchi wa kawaida ambaye hana pesa anvyopata shida. Wngine tumeamua kuacha tu maana at the end of the day vitu tunavyopigania tutavyacha tu. Lakini ole wake mwenye kuwadhulumu wajane na mayatima kwa sababu ya uwezo wake wa pesa, watoto, wajukuu, vijukuu na vilembwe vyao vitabeba hiyo laana. Mungu hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna pamoja na familia yake.
 
Takukuru wapo kimya mpaka kiongozi aje ndio wanajishika shika faida ya wao kuwepo ni nini..
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom