Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Naam na ubaya zaidi unakuta wakitatua kero/kesi hakuna uendelezsji wa mianya iliyopelekea hiyo kero/kesi ili kudhibiti kesi zingine za aina hiyoNi ujinga wa hali ya juu. Ila wanasiasa maslahi kama kina Nchemba ndiyo wanaoupenda kwa sababu wanafanikiwa kulaghai wananchi. Wanajua wananchi wengi hawaona upeo wa kuona kuwa mambo kwenye ngazi za chini hayaendi kwa sababu ya ubovu wa viongozi wa juu. Kama ulivyosema... huu mtindo umefanyika sana lakini kadiri unavyofanywa ndivyo uzembe unazidi na kufanya viongozi wa ngazi za chini kuzembea. Nani anaweza kuwa mzuri wa huu upuuzi kuliko marehemu Mrema? Mrema alitingisha nchi na kila kitu kikawa kama kiko chini ya utendaji wake na uzembe haukuisha. NB: HIvi fisadi na mzembe kama Mwingulu anaweza kweli kuwashughulikia walio chini yake wakati wanajua yeye ndiye baba wa uovu?