Ni ujinga wa hali ya juu. Ila wanasiasa maslahi kama kina Nchemba ndiyo wanaoupenda kwa sababu wanafanikiwa kulaghai wananchi. Wanajua wananchi wengi hawaona upeo wa kuona kuwa mambo kwenye ngazi za chini hayaendi kwa sababu ya ubovu wa viongozi wa juu. Kama ulivyosema... huu mtindo umefanyika sana lakini kadiri unavyofanywa ndivyo uzembe unazidi na kufanya viongozi wa ngazi za chini kuzembea. Nani anaweza kuwa mzuri wa huu upuuzi kuliko marehemu Mrema? Mrema alitingisha nchi na kila kitu kikawa kama kiko chini ya utendaji wake na uzembe haukuisha. NB: HIvi fisadi na mzembe kama Mwingulu anaweza kweli kuwashughulikia walio chini yake wakati wanajua yeye ndiye baba wa uovu?Huu utaratibu haujawahi kufanikiwa.
Mrema
Lowasa
Nchemba
Sana unamjenga kisiasa mhusika
MagufuliHuu utaratibu haujawahi kufanikiwa.
Mrema
Lowasa
Nchemba
Sana unamjenga kisiasa mhusika
Umjenge vipi wakati hiko ndio cheo chake cha mwisho kikubwa...!Huu utaratibu haujawahi kufanikiwa.
Mrema
Lowasa
Nchemba
Sana unamjenga kisiasa mhusika
Umemsahau Magufuli. Mwigulu anataka kuwa rais, hivyo anajibrand kwa hizo petty issues. Anatumia njia aliyokuwa akitumia Magufuli akitegemea atapata mvuto.Huu utaratibu haujawahi kufanikiwa.
Mrema
Lowasa
Nchemba
Sana unamjenga kisiasa mhusika
Mbaya zaidi hakuna anayemtilia maanani.Hivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na waziri mkuu wa Nchi Nachoka mimi mjukuu wa Mwandambo.
Mwingine anatembea na makaratasi yameshakunjamana, ya miaka na miaka, Imagine, huyu ana kesi ya shamba, huyu kiwanja, huyu mafao NSSF hajalipwa, huyu kaonewa kasimamishwa, huyu kavunjiwa duka, huyu n.k. n.k.
Hivi hizi ni issues za kuhitaji attention ya waziri mkuu? Tuna haja gani ya kuwa na serikali za mitaa, madiwani, wabunge, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, mawaziri?
Hebu niambieni nchi gani ambayo utasema ni mfano wa kuigwa barani Africa, wala tusiende Ulaya, tuangalie hata majirani zetu, ni wapi Waziri Mkuu anasikiliza petty cases kama hizi? Hivi tumekuwa vipofu kiasi hiki? Hivi mheshimiwa Waziri Mkuu na wewe unaona sifa kushughulikia hizi kesi?
Ninachoona mimi ni systemic collapse (mifumo haisomani,kila mtu anachojali ni allowances zake na mishahara siku ziende). Hivi Waziri wetu mkuu si atazimia kwa stress.
Tanzania ina watanzania zaidi ya milioni 60. Muheshimiwa Mwigulu, ngoja na mimi nakuja maana nina miezi 6 sijalipwa madai yangu hapa kwa mwajiri wangu namdai laki 4. Mheshimiwa nisaidie nilipwe.
Huo Uwaziri mkuu kaupata kwa kuchaguliea Ubunge na nani ...?? Huyo ni Waziri Mkuu haramuHuu utaratibu haujawahi kufanikiwa.
Mrema
Lowasa
Nchemba
Sana unamjenga kisiasa mhusika
Marudioo mkuu.majaliwa kapita kote huko alikutana na banda la mabati la milion 8 kuwekea mizigo na jamaa wakamaliza project..hai sasa mf kama maji watoto wasichote shule hazina visima wala maji shehe hapo napita tuHivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na waziri mkuu wa Nchi Nachoka mimi mjukuu wa Mwandambo.