Ziara za Waziri Mkuu: Uozo wa mifumo, rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya kodi zetu

Naam na ubaya zaidi unakuta wakitatua kero/kesi hakuna uendelezsji wa mianya iliyopelekea hiyo kero/kesi ili kudhibiti kesi zingine za aina hiyo
 
Kwani hata wanatatua nini kimeleta hayo matatizo, zaidi ya kutatua tu yanayoripotiwa muda huo kuanua ngoma juani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…