Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Humtakii mema eehhhh...🤨Karibu sana, chukua form ya Urais mwakani.
Kwa Sababu hawaelewi maana ya waziri wa Maendeleo ya Jamii kuwa ni kushuka chini iliko jamii kuendelea kuamsha Ari ya jamii ikiwemo kubadilisha fikra za jamii kazi ambayo ni mtihani mkubwa Sana. Aidha, muunganiko wa program ya malezi na makuzi ambayo ni msingi wa kuepuka mabaya mengi huku kwenye jamii ikiwemo kuna umuhimu wa elimu ya msingi ambako, watoto wengi wanaacha shule na kutorokea mitaani na huku sehemu kubwa ya jamii ikiwa haisemi.Kuna watu watakuja hapa kukushangaa Mhe. Waziri kuandaa ziara ya kufungua vyumba vitatu vya madarasa. Uwe na ziara njema.
Kuna watu watakuja hapa kukushangaa Mhe. Waziri kuandaa ziara ya kufungua vyumba vitatu vya madarasa. Uwe na ziara njema.
CCM hawataki MTU wa kaliba yakeAnaweza sana hiyo nafasi mkuu.
Nimecheka Bwana VichekeshoSisi tunamtaka
Umeanza kumhalibia mwenzio kumbuka ya ummy mwalimuKaribu sana, chukua form ya Urais mwakani.
Vichekesho likwelikwe.Ummy alikuwa msanii tu, huyu ni kiongozi kwelikweli.
Ni kweli kabisa. Na maendeleo ni hatua kwa hatua.Kwa Sababu hawaelewi maana ya waziri wa Maendeleo ya Jamii kuwa ni kushuka chini iliko jamii kuendelea kuamsha Ari ya jamii ikiwemo kubadilisha fikra za jamii kazi ambayo ni mtihani mkubwa Sana. Aidha, muunganiko wa program ya malezi na makuzi ambayo ni msingi wa kuepuka mabaya mengi huku kwenye jamii ikiwemo kuna umuhimu wa elimu ya msingi ambako, watoto wengi wanaacha shule na kutorokea mitaani na huku sehemu kubwa ya jamii ikiwa haisemi.
Hivyo waje tu wanishangae na mimi nitawashangaa🥹hivi.... Mshangao kwa mshangao🥹
Uongozi ni kushuka na kukagua utekelezaji wa sera na kuwapa moyo, pia sauti inaenda mbali zaidi akija mgeni, na pia, miradi ni mingi Sana ambapo ingine walizindua wao, ingine akaja Mhe Rais, mingine akaja Mhe Makamu wa Rais, mingine akaja Mhe Waziri Mkuu na mingine akaja Mhe Mhe Naibu Waziri Mkuu na haijaisha tumekuja sisi mawaziri. Uone sasa ukubwa wa utekelezaji wa serikali ya Awamu ya 6 kwenye mafuriko ya miradi. Na Mimi nitaacha mingine wataendelea tena wenye mkoa hadi mtendaji wa kata na bado haitaisha. Ni hivyo tu🇹🇿😍Mimi mmojawapo, huko mkoani wapo mabosi wa mikoa, wilaya nk wa hiyo wizara anayoiongoza.
Una mkakati gani na hawa ombaomba na homeless waliozagaa mitaani na mikoa mikubwa nchi nzima?
Wengine ni watoto hawasomi, wanalala nje nk.
Una mkakati gani na wadangaji waliojaa Tanzania nzima, wengine ni mabinti wadogo ambao wameathiliwa na hizi social media na kuamini udangaji ni sehemu ya maisha na ni jambo la kawaida sana huku tukiwapromote wasanii ambao nao wanadhidi kuchochea hali hii.
Maendeleo ya technolojia yamekuja na athari kubwa kwenye jamii yetu na tunaonekana kama hatuna control na kuachia nyimbo, maudhui ya hovyo nk matokeo yake kumetokea mmomonyoko mkubwa WA kimaadili, vijana hawafanyi kazi, mabinti wamekuwa wadangaji/malaya nk.
Kama wizara kuna programs zozote za kupambana na haya?
Na wewe Ushimen vitu vingine uwe unanicheki Mimi mwanao nakupa macode sio kumsumbua mamaNina maswali nje ya mada:-
Mama mjamzito kupewa kadi ya clinic anatakiwa kulipia shikingi 10,000?
Mama mjamzito anae hudhuria clinic kupata kipimo cha ultrasound anatakiwa kulipia shilingi 20,000?