Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Una wazimu ww ... kuhama timu sio lazma ... hao waliohama walikuwa na sabab zao na wala sio eti wakaonekane bora .... CR7 kama angeanzia soka madrid hakika man u wangemsikia tu kwnye bomba ... ila aliondoka man u kwasabab madrid walmtaka ... man u wanamtaka sana nw , ila hawez ondoka madrid eti kwasabab man u wanamtaka ... unangalia na timu unayoenda na unayotoka ... sas kwamfano CR7 akafate nn man u saivi ????
Naomba Ubadilishe hilo jina haraka unamshushia hadhi Nedved,hujui mpira unaangalia tu ushabiki na kelele za vibanda umiza.
 
Unajua kila mtu na vitu anavyovikubali na anavyovikataa,me simkubali Messi mkuu tutashinda tunasumbuana,wewe umeanza kuangalia mpira mwaka gani?kila mchezaji na karne yake,mifumo na uchezaji na hata jezi zilikuwa tofauti na hata Messi akiondoka miaka hiyo utamtaja Messi watu watakushangaa.Angalia Maradona enzi zake,huwezi fananisha na wakati huu!au pele huwez fananisha na wakati huu!Wewe huna Upeo hata kidogo huwezi mfananisha Nabii suleiman na Ngurumo ya Upako.

Humkubari kivipi??? 2lioanza kufuatilia soka enzi ya DIEGO 10 tunamkubari messi zaidi ya mchezaji yoyote unaemujuwa. Tuweke chuki pembeni, badala yake tuweke ukweli. Hayo ndo mambo
 
Humkubari kivipi??? 2lioanza kufuatilia soka enzi ya DIEGO 10 tunamkubari messi zaidi ya mchezaji yoyote unaemujuwa. Tuache chuki tuweke ukweli. Hayo ndo mambo
Mpira wa diego uliuangalia mwaka gani na Tv kwenu zilikuja na Mzee Ruksa/wote mlikuwa hamna Tv alikuwa nayo mchonga tu!
 
unataka namba?

-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)

UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia

-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu

-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu

-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe

1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali

2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro

3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup

4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.

kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea.

sasa jiulize mkuu ana magoli machache ila kwanini muhimu sana? siku madrid wakimfunga sijui getafe goli 9 wala zidane hatafunga matano, zidane anakuja kufunga ile mechi ngumu kabisa mechi ambayo mbinu zote zimeshindikana na kila mchezaji kakamatwa ndio zidane utamuona.

jamaa alikuwa hategemei mfumo wa timu, yeye ndio mfumo na ile chenga yake (ya michael laudrup) alikuwa akizichachafya midfield bora duniani, nenda youtube kaangalie france 1 brazil 0 world cup 2006 utajua zidane ni nani, midfield ya dunia kina dinho wapo form walikuwa wakiutafuta mpira.

xavi yeye alikuwa mtegemeaji mfumo, wafunge kina messi, siku barca kashinda 6 basi na yeye atupie mbili, siku mou au chelsea wakipaki basi na yeye haonekani, siku getafe wakikomaa na yeye haonekani, siku rubin kazan wakipiga buti na yeye haonekani etc.

hebu mkuu taja memorable moment za xavi anaamua mechi ya fainali au ana dictate mechi muhimu sana, kama vile zidane fainali zote kubwa yaani UEFA, EURO na World cup.


na pia usisahau point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc

kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.
Du ww ndio unajua mpira unafaa kuwa eddo kumwembe umechambua vizur
 
Sasa mm nmemzungumzia !.... ila unajua kusoma kweli mzee ?
Mwenye jina kama hilo anatakiwa achangie point sio kama wewe.Wewe unajua kusoma lakini kuelewa huelewi wala kuchambua hujui kijana.
 
Mwenye jina kama hilo anatakiwa achangie point sio kama wewe.Wewe unajua kusoma lakini kuelewa huelewi wala kuchambua hujui kijana.
Jamaa yangu utapata shida sana katika nyakat hizi ase ... kwa maana , unaishi kwa hisia ase(hayo mambo ya kizaman)... tunamzungumzia xavi na zidane (ndio mada hapa , hyo mingine mifano tu )... nashangaa umeanza kufanansha majina mkuu .... haya ebu tuambie unahis giggs akiulzwa kati ya xavi na zidane nan alikuwa mkali atajibu nn ?
 
Usimlinganishe Zizou na vitu vya kipumbavu!
 
Jamaa yangu utapata shida sana katika nyakat hizi ase ... kwa maana , unaishi kwa hisia ase(hayo mambo ya kizaman)... tunamzungumzia xavi na zidane (ndio mada hapa , hyo mingine mifano tu )... nashangaa umeanza kufanansha majina mkuu .... haya ebu tuambie unahis giggs akiulzwa kati ya xavi na zidane nan alikuwa mkali atajibu nn ?
Nipe point zako zakumkubali Xavi,au kusema tu jina ndio akili?support your player kuwa ni bora!Au ukojoe ukalale
 
Nipe point zako zakumkubali Xavi,au kusema tu jina ndio akili?support your player kuwa ni bora!Au ukojoe ukalale
Kwahyo point yako ya kumsupport zidane ni kuhama timu au sio ..... rekebisha hapo kwanza au utuambie kwamba zidane ni bora kwasabab kahama(tuthibitishe ujinga wako) ndio tuendelee ... NI HOJA YA KIJINGA HYO NA IMENIKWAZA SANA YAN .
 
Ubora wa Xavi unaweza kuelezewa vizuri zaidi na Sir Ferguson humu ndani hakuna yeyote atakaye uelezea vyema.

Wale wa mpira wamenielewa vyema.
Sir Alex Ferguson said in 2000 wakati Zidane anavunja rekodi ya dunia ya uhamisho " Give me 10 pieces of woods & Zidane & I'll win u UEFA champions league "
 
Mimi niliangalia world cup ya 1990 wakati huo ni enzi ya kina peter shilton,Gary linekar,kina careca,Kina Dunga<kina Roger milla,Kina Thomas Nkono,Maradona,na weeengi ila Zizzou is the Best

Wacha bwana kipindi hicho kwa hisani ya TVZ. Ni fainali ambayo mambo ya LIBERO yalitokelezea kwa sana haswaa shughuli aliyokuwa akiifanya LOTHAR MATHEUS wa WEST GERMANY MASHINE! Argentina ikicheza tofauti kabisa na mwaka 1986 ikija na sytle ya kupaki basi ila wabrazil walilia sana walivyolizwa na kombinesheni ya CANIGIA na Maradona dakika za robo ya mwisho ingawa SAMBA ilipigwa zaidi ya asilimia 80. Mwisho ni uamuzi wa mpiga penalti mashuhuri ANDREAS BREHME wa W. Germany dhidi ya golikipa nguli mwenye macho ya mwewe ya kuokoa penalti wa Argentina GOYCOCHEA.

Msimfananishe hata kidogo hawa akina Messi na Ronaldo na Kizazi cha Pele au Maradona. Sana sana vita itakuwa nani zaidi kati ya PELE na MARADONA.

Kipindi hicho kilikuwa hakuna 'protection' kwa mastaa watu walikuwa WANAKULA MIWA HASWAA. Siku ukutane na URUGUAY hiiii hiii la UAKIKA kwanza unajua watabakia SABA uwanjani. Lakini Maradona alikuwa anakimbiza humo humo pamoja na KULIWA MIWA.
 
NUMBERS DONT LIE

ZIDANE
GAMES:820
GOALS 103
ASSISTS 92
TROPHIES 11

XAVI HERNANDEZ
GAMES 767
GOALS 108
ASSISTS 204
TROPHIES 28

#IN THEIR PEAK XAVI WAS BETTER THAN ZIZOU....!!!
Tuzo Za mchezaji Bora wa Dunia hujaweka
 
Back
Top Bottom