hapo upo sahihi nimeconfirm hizo stats ila still haijajibu logic ya mwanzo ya umuhimu wa hayo magoli, mechi zote mbili za uefa ambazo messi amefunga toa magoli yako matokeo yanabaki vile vile Barcelona ameshinda. na ukiangalia record ya Messi ya magoli vs Record ya magoli fainali kubwa unaona kabisa fainali anadrop.
Uefa fainali 4
kimataifa fainali 4
jumla fainali 8 goli 2 tena zisizoamua mechi,
Tofauti na Pippo, toa goli 2 za pippo 2007 na liverpool mechi ya 2-1,
angalia fainali alizocheza Pippo utaona nyingi anaziamua yeye.