Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Naomba Ubadilishe hilo jina haraka unamshushia hadhi Nedved,hujui mpira unaangalia tu ushabiki na kelele za vibanda umiza.
 

Humkubari kivipi??? 2lioanza kufuatilia soka enzi ya DIEGO 10 tunamkubari messi zaidi ya mchezaji yoyote unaemujuwa. Tuweke chuki pembeni, badala yake tuweke ukweli. Hayo ndo mambo
 
Humkubari kivipi??? 2lioanza kufuatilia soka enzi ya DIEGO 10 tunamkubari messi zaidi ya mchezaji yoyote unaemujuwa. Tuache chuki tuweke ukweli. Hayo ndo mambo
Mpira wa diego uliuangalia mwaka gani na Tv kwenu zilikuja na Mzee Ruksa/wote mlikuwa hamna Tv alikuwa nayo mchonga tu!
 
Du ww ndio unajua mpira unafaa kuwa eddo kumwembe umechambua vizur
 
Sasa mm nmemzungumzia !.... ila unajua kusoma kweli mzee ?
Mwenye jina kama hilo anatakiwa achangie point sio kama wewe.Wewe unajua kusoma lakini kuelewa huelewi wala kuchambua hujui kijana.
 
Mwenye jina kama hilo anatakiwa achangie point sio kama wewe.Wewe unajua kusoma lakini kuelewa huelewi wala kuchambua hujui kijana.
Jamaa yangu utapata shida sana katika nyakat hizi ase ... kwa maana , unaishi kwa hisia ase(hayo mambo ya kizaman)... tunamzungumzia xavi na zidane (ndio mada hapa , hyo mingine mifano tu )... nashangaa umeanza kufanansha majina mkuu .... haya ebu tuambie unahis giggs akiulzwa kati ya xavi na zidane nan alikuwa mkali atajibu nn ?
 
Usimlinganishe Zizou na vitu vya kipumbavu!
 
Nipe point zako zakumkubali Xavi,au kusema tu jina ndio akili?support your player kuwa ni bora!Au ukojoe ukalale
 
Nipe point zako zakumkubali Xavi,au kusema tu jina ndio akili?support your player kuwa ni bora!Au ukojoe ukalale
Kwahyo point yako ya kumsupport zidane ni kuhama timu au sio ..... rekebisha hapo kwanza au utuambie kwamba zidane ni bora kwasabab kahama(tuthibitishe ujinga wako) ndio tuendelee ... NI HOJA YA KIJINGA HYO NA IMENIKWAZA SANA YAN .
 
Ubora wa Xavi unaweza kuelezewa vizuri zaidi na Sir Ferguson humu ndani hakuna yeyote atakaye uelezea vyema.

Wale wa mpira wamenielewa vyema.
Sir Alex Ferguson said in 2000 wakati Zidane anavunja rekodi ya dunia ya uhamisho " Give me 10 pieces of woods & Zidane & I'll win u UEFA champions league "
 
Mimi niliangalia world cup ya 1990 wakati huo ni enzi ya kina peter shilton,Gary linekar,kina careca,Kina Dunga<kina Roger milla,Kina Thomas Nkono,Maradona,na weeengi ila Zizzou is the Best

Wacha bwana kipindi hicho kwa hisani ya TVZ. Ni fainali ambayo mambo ya LIBERO yalitokelezea kwa sana haswaa shughuli aliyokuwa akiifanya LOTHAR MATHEUS wa WEST GERMANY MASHINE! Argentina ikicheza tofauti kabisa na mwaka 1986 ikija na sytle ya kupaki basi ila wabrazil walilia sana walivyolizwa na kombinesheni ya CANIGIA na Maradona dakika za robo ya mwisho ingawa SAMBA ilipigwa zaidi ya asilimia 80. Mwisho ni uamuzi wa mpiga penalti mashuhuri ANDREAS BREHME wa W. Germany dhidi ya golikipa nguli mwenye macho ya mwewe ya kuokoa penalti wa Argentina GOYCOCHEA.

Msimfananishe hata kidogo hawa akina Messi na Ronaldo na Kizazi cha Pele au Maradona. Sana sana vita itakuwa nani zaidi kati ya PELE na MARADONA.

Kipindi hicho kilikuwa hakuna 'protection' kwa mastaa watu walikuwa WANAKULA MIWA HASWAA. Siku ukutane na URUGUAY hiiii hiii la UAKIKA kwanza unajua watabakia SABA uwanjani. Lakini Maradona alikuwa anakimbiza humo humo pamoja na KULIWA MIWA.
 
NUMBERS DONT LIE

ZIDANE
GAMES:820
GOALS 103
ASSISTS 92
TROPHIES 11

XAVI HERNANDEZ
GAMES 767
GOALS 108
ASSISTS 204
TROPHIES 28

#IN THEIR PEAK XAVI WAS BETTER THAN ZIZOU....!!!
Tuzo Za mchezaji Bora wa Dunia hujaweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…