Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Chief agiza kinywaji nakuja kulipa..
 
Zidane ashukuru Mungu amekwepa Era ya kina Messi....unless otherwise tungemsahau
Hao wa kina messi wenu ndio wangepata tabu.. sipingi messi ni bonge la player ila wapo katika kizazi ambacho hakina ushindani, yeye ni bora kawaacha wenzie mbali sana.. zizzou kakipiga na kina gaucho, kila mtu analijua balaa lake, del piero, de lima, rivaldo, figo mwenyewe na wakali kibao utajaza nafasi nilizoacha wazi, mtu kama zidane dunia hii hamna kabisa, sijamuona hata wa kumnyemelea nyayo zake... Hebu mpe heshima yake huyu kiumbe..
 
Umesahau pale Wembley fainal kati ya barca na man u
Ferguson akicheza kiduku huku ameketi kwa kiti
Kwahiyo alicheza kiduku kwasababu ya performance ya Xavi siku hiyo? Hahahahaa
Xavi mchezaji ambaye hata hajawahi ingia kwenye Top 3 ya Ballo Dor ndo unamlinganisha na Zizzou,kua serious aisee mwishoe mtakuja kumlinganisha De Lima na mi na 9 mingine ya ajabu ajabu
 
Kiongozi unakosea sana kumlinganisha Zizo na xavi.

Xavi level yake ni gaucho,, de maria,,hazard,,iniesta n.k.

Zizo sio mahala pake hapo.
 
Kiongozi unakosea sana kumlinganisha Zizo na xavi.

Xavi level yake ni gaucho,, batigoal,, de lima,, de maria and kun aguero

Zizo sio mahala pake hapo.
We nawe ata kulinganisha hujui Xavi na Batistuta hahaha vijana bana
 
Attachments

  • IMG_2368.jpg
    12.1 KB · Views: 50
Zidane. Xavi ni mzuri lakini level yake ni ndogo sana kuliko ya Zidane. Zidane was one of the most elegant and graceful player ever to play football.

Unamfananisha Zidane na Xavi? Zidane mwenye sanamu lake alilochongewa hapo ufaransa.
Zidane ambaye aliamua game ya final world Cup 98 dhidi ya Brazil nyoko ya kina delima,Cuf,Dunga,R.Carlos.Rivaldo na wengi kama hao?
Zidane huyuhuyu aliyeipa ubingwa Madrid Mara ya mwisho Kwa kizazi chao mwaka 2002 Kwa bao namba moja na LA kihistoria kwenye UEFA mpaka Leo.
Zidane ambaye 2006 ili kushinda Italy ilibidi wamprovoke yeye kupitia Kwa Materazzi ndo wapate ahueni japo Kwa matuta huku akiwa ametoka kuwapa shida wa Brazil tena kwenye Robo fainali.
Zidane Mchezaji bora was dunia Mara mbili.
Zidane anacheza mipira ya juu anacheza mipira ya chini.
Zidane anajua mpira was njaa anajua mpira was burudani.
Google hii! King of the first touch control...Namba moja hapo Ni Zidane.

Usimlinganishe na mtu aliyemsubiri Deco amalize ndo na yeye acheze.
 
Umeongea vzr, ila Ili ueleweke njoo na statistics za upande wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vzr, ila Ili ueleweke njoo na statistics za upande wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Statistics za maana zaidi ya hizo Pasi alizopiga...Simuoni kama super hero hapo Barcelona wala Spain japo ameupiga mpira mwingi...namuweka level moja na kina Schneider...Robben...Ribery...Rooney...Scholes etc.
Simuweki na kina Figo...Zidane...Ronaldo...Gaucho...Rivaldo etc
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…