1. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo mwenyewe akili kuliko wote ndani ya chama?
2. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba bila FAM chama kimekufa?
3. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo Mwamba na hakuna mwingine zaidi yake ndani ya chama?
4. Inawezekanaje CHADEMA wamwamini FAM kwa maneno yake tu, na wala si kwa matendo yake?
5. Inawezekanaje watu wa mfumo wamsifu FAM ambao ndo maadui wa CHADEMA?
Binafsi kama wajumbe wa CHADEMA watamchagua tena FAM, kamwe sitakiamini tena CHADEMA. Nitajua kuwa shida si FAM pekee yake bali ni karibu wajumbe wote, kwa hiyo sitakiamini tena CHADEMA.
Kama kweli ana busara kama wanavyosema watu wake, busara hizo zilitakiwa zimwongoze kwamba wakati umefika aweze kuwaachia wengine kijiti. Lakini busara zake zinamwambia kwamba yeye ndo kila kitu, bila yeye chama kinafutika.
CCM kinang'ang'ania kukaa madarakani kama yeye(FAM) anavyong'ang'ania kukaa madarakani. Katika mazingira hayo, kati ya CCM na FAM kuna tofauti gani? Ni wale wale. Mpaka sasa FAM hawezi kuinyooshea kidole CCM kwa sababu yeye mwenyewe ameshaonesha udhaifu wa kulewa madaraka.
Kwa hiyo Watanzania wasitegemee tena kwamba CHADEMA iliyopo mikononi mwa FAM itakuja kuleta mabadiliko yoyote katika Nchi hii. Hakuna kitu hapo.
Lakini muda bado, kama kweli kuna wazee wa chama, mimi nadhani wamwombe FAM aghairi nia yake ya kuwania Uenyekiti. Atakuwa amekiponya chama kwa asilimia kubwa sana ikizingatiwa kuwa, wanachama wengi zaidi ya 80% kwa sasa hawamtaki FAM hata kidogo.
Mwenye masikio na asikie.