John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Walio wengi huko wameoza vibaya Sana, ni watu waovu waliopitiliza hata shetani hafui dafu.Mkuu vijana wanaharibu sana tasnia.
Hakuna upuuzi kule,ukikiuka utafunzwa.
Wakongwe wapo tu palepale heshima yao.
Kuna mmoja anaweza kuvuruga lakini sio wote.
Huku mitaani watu wanazo data zao, isipokuwa wamechagua kukaa kimya Kama vile hawajui kitu chochote kile kuhusu watu hao na mienendo yao.