He!, Eddy, mwanamke akikaa muda mrefu katika shughuli za kawaida mpaka jioni, lazima utamsikia ananuka jasho pamoja na harufu za kike , na harufu hizo, hazina tofauti na anayetoja kuchepuka. Kama unafikiri utamkagua mkeo kwa njia hizo, umepotea maboya. Njia unatoitangaza, labda itakusaidia kuitumia kwa ambaye si mzoefu au bado mchanga ambaye hajazaa. Kwa aliyezaa nzao mbili, au tatu, unajisumbua tu. Kwanza ujue kuwa, mkeo anapopanga kwenda nje ya ndoa, huwa anapanga karata zake vizuri ili usimgundue. Ili usimgundue, atahakikisha anakaa Massa sita baada ya kupigwa , na anapiga maji kila baada ya dakika 40. Baada ya masaa sita akikuletea imesharudi kama ilivokua.. Nikusaidie ujue. Wanawake wenye heshma zako kwa Waume zao, huchepuka saa mbili asubuhi hadi saa tano .Huo ni muda mzuri kwa kuwa saa 12jioni itakuwa imesha fikisha SAA sita. Je kuna haja gani ya kumkagua mkeo kama alichepuka kati ya saa mbili asubuhi, na saa tano? .. Vile vile usisahau kuwa yapo madawa ya kuoshea baada ya kufanya, ndani ya dakika 40, kama vile hakuchepuka.. Kuna vijimimea aina ya mimosa, mmea huu unapougusa majani yake yanajikunja kisha baada ya muda yanakunjuka . mmea huu huwa wanaponda ponda na kuloweka ktk maji. Anapomaliza kuchepuka, anaoshea maji hayo.. Je , upo hapo brother?, chungu hakiogopi moto.