Zifahamu Engine oil

Zifahamu Engine oil

Tumia 5W - 30
Kama gari yako odometer inasoma zaidi ya km 100,000 tumia 5W - 40
Nikitumia hii je...
IMG_20220313_114455_936.jpg
 
Sijajua kama gari yako imetengenezwa mwaka gani na imefikisha milage ngapi kwasababu hii namba ni kubwa Sana kwenye engine za kisasa (2005-2015)
Kwangu Mimi naona Bora ungetumia 10W kuliko 20W
Gari yangu ya mwaka 2006.
Mileage inasoma around 80,000km.
Engine ni K3-VE 1290cc.
Toyota.

Nimekuta li-fundi limeweka hiyo. Natakiwa nibadilishe? Umesema bora niweke ipi... 10W30?
 
Gari yangu ya mwaka 2006.
Mileage inasoma around 80,000km.
Engine ni K3-VE 1290cc.
Toyota.

Nimekuta li-fundi limeweka hiyo. Natakiwa nibadilishe? Umesema bora niweke ipi... 10W30?
5w30..
Service moja nadhani sio ishu..Tumia kwanza wakati unaisikiliza engine..
Test za kufanya..
1. Asubuhi ukiiwasha fungua bonnet kusikiliza kama kuna rattle sound kwenye engine.. Oil inachelewa kufika kwenye CAM..

2. Angalia matumizi ya mafuta kama yataongezeka au engine itapoteza nguvu kidogo.. Hapo utajua oil ni nzito..!
 
Gari yangu ya mwaka 2006.
Mileage inasoma around 80,000km.
Engine ni K3-VE 1290cc.
Toyota.

Nimekuta li-fundi limeweka hiyo. Natakiwa nibadilishe? Umesema bora niweke ipi... 10W30?
Bora uanze na 5W - 30 au 5W - 40 angalau itafaa zaidi.
Hawa mafundi wetu WA chini ya mwembe kwenye ishu za engine oil wengi wao hawana elimu juu oil sahihi.jaribu kutumia hiyo namba hapo juu hata engine yako utaona jinsi mlio wake unavyobadilika hata fuel consumption itaenda vizuri
 
Mafundi wengi lakini sio wote wanapenda urahisi wa material kwahyo wao wanaona oil ambayo inauzwa Bei rahisi ndio inayowekwa, Cha kusaidiana ni wewe mmiliki wa gari kwenda na oil yako na kuhakikisha hutoki Hadi aiweke kwenye gari yako tofauti na hapoutaingizwa mkenge
 
Hizo ni kilometers 3,000 kwa mwaka..wewe kwa mwaka unaenda kilometers ngapi!!?
 
Inategemea na mizungukl ya MTU, me kwa mwaka naenda hadi 20, 000+KM
Ahhh ok..
Nchi nyingi zilizoendelea mifumo yao ya usafiri ni mizuri..
Gari utaituma weekend ukienda shopping urahisi wa kubeba mazagazaga yako..
Kuna research ilifanywa Japan.. 1/3 ya magari private yanaenda km 3000-5000 kwa mwaka.. Kwahiyo kukuta yard gari ina hizo kilometers sio ishu..!
 
Uko sahihi Kbs, sema mie napenda misele na ndinga langu ndo mana😅😅
 
Kuna stika kwenye bonnet kwa ndani , gari ni Toyota imeandikwa kijapani , ukiiscan na Google translator , inasema badilisha engine oil every 15,000km. sijakosea , ni kilomita elfu 15.
Nafkiri oil za kizamani sana ndio unabadilisha hizo 5,000km , au 3,000km , siku hizi ziko improved mno kuokoa gharama kwa mtumiaji.
 
Back
Top Bottom