Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Nikitumia hii je...Tumia 5W - 30
Kama gari yako odometer inasoma zaidi ya km 100,000 tumia 5W - 40
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikitumia hii je...Tumia 5W - 30
Kama gari yako odometer inasoma zaidi ya km 100,000 tumia 5W - 40
Sijajua kama gari yako imetengenezwa mwaka gani na imefikisha milage ngapi kwasababu hii namba ni kubwa Sana kwenye engine za kisasa (2005-2015)Nikitumia hii je...
View attachment 2156105
Gari yangu ya mwaka 2006.Sijajua kama gari yako imetengenezwa mwaka gani na imefikisha milage ngapi kwasababu hii namba ni kubwa Sana kwenye engine za kisasa (2005-2015)
Kwangu Mimi naona Bora ungetumia 10W kuliko 20W
5w30..Gari yangu ya mwaka 2006.
Mileage inasoma around 80,000km.
Engine ni K3-VE 1290cc.
Toyota.
Nimekuta li-fundi limeweka hiyo. Natakiwa nibadilishe? Umesema bora niweke ipi... 10W30?
Bora uanze na 5W - 30 au 5W - 40 angalau itafaa zaidi.Gari yangu ya mwaka 2006.
Mileage inasoma around 80,000km.
Engine ni K3-VE 1290cc.
Toyota.
Nimekuta li-fundi limeweka hiyo. Natakiwa nibadilishe? Umesema bora niweke ipi... 10W30?
Mafundi wengi lakini sio wote wanapenda urahisi wa material kwahyo wao wanaona oil ambayo inauzwa Bei rahisi ndio inayowekwa, Cha kusaidiana ni wewe mmiliki wa gari kwenda na oil yako na kuhakikisha hutoki Hadi aiweke kwenye gari yako tofauti na hapoutaingizwa mkengeBora uanze na 5W - 30 au 5W - 40 angalau itafaa zaidi.
Hawa mafundi wetu WA chini ya mwembe kwenye ishu za engine oil wengi wao hawana elimu juu oil sahihi.jaribu kutumia hiyo namba hapo juu hata engine yako utaona jinsi mlio wake unavyobadilika hata fuel consumption itaenda vizuri
Gari ilitengenezwa 2005, leo inakuwaje na 45,000km?Gari ya yard kuwa na kilometers ndogo ni kosa..!!!?
Tuendelee kuomba Mungu tuuzi mzuri kwa watumiaji wa magari, tusio nayo tutulie tuli
Inategemea na mizungukl ya MTU, me kwa mwaka naenda hadi 20, 000+KMHizo ni kilometers 3,000 kwa mwaka..wewe kwa mwaka unaenda kilometers ngapi!!?
Ahhh ok..Inategemea na mizungukl ya MTU, me kwa mwaka naenda hadi 20, 000+KM
Uko sahihi Kbs, sema mie napenda misele na ndinga langu ndo mana😅😅Ahhh ok..
Nchi nyingi zilizoendelea mifumo yao ya usafiri ni mizuri..
Gari utaituma weekend ukienda shopping urahisi wa kubeba mazagazaga yako..
Kuna research ilifanywa Japan.. 1/3 ya magari private yanaenda km 3000-5000 kwa mwaka.. Kwahiyo kukuta yard gari ina hizo kilometers sio ishu..!