new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
No problem mkuu....but it is all about choice mkuu hadi km 15,000 km kama manufacturer anavosema...but know that oil mpaka inafika km 8000+ imesha breakdown sana...kumbuka oil si kilometers, but to what extent imekua subjected to heat ili ku oxidize... So unaweza tembea hata km 2000 but under heavy application oil itakubidi uitoe umwage, au unaweza tembea km 2000 kwa mwaka lakini kama hazi 2000 km ni za short distance yaan zima washa zima washa gari, basi oil hii itakubidi ndani ya miezi sita utoe kwakua itakua na gasoline contamination so ita breakdown na kutofaa kwa matumizi ya lubrication.Synthentic Castrol unachange mpaka kms 10,000 ukipunguza 7,000. Siyo hizo za kms 3000, 3500.
Pia unaweza kua na km chache lakini injini ina masaa mengi ina operate bila gari kutembea..so people dont consider this, they only consider distance gari imetembea na si muda injini imefanya kazi..my friend.
Kingine gari nyingi zinazokuja bongo zinakula oil so oil haiwezi kaa kwenye same level after 1000+km..so after unakuta km 2000 lazima uongeze oil angalua kiasi kadhaa.. lakini nini chanzo cha hili tatizo..unakuta chanzo kina rudi kwenye oil change interval..oil change interval ikiwa ndefu oil u break down na kufanya itengeneze vitu kama ukoko, huu ukoko hung'ang'ania rings za pistons (zinazo scrap oil kwenye cylinder walls) (pia oil rings za modern cars because of emissions standard na ku increase engine efficiency, zinakua low tension) sasa rings zikisha ng'ang'ania basi oil inakua haina kizuizi cha kuifanya isifike kwenye combustion chamber..so inakua burnt together with fuel kwenye combustion chamber.
So my good friend change oil after every 3000km or 3000miles kama watumia synthetic oil.
Kumbuka oil is cheaper kuliko engine.
Don't be deceived by marketing words za hizi brand mbalimbali za oil kwamba hizi oil zaenda km nyingi bila kukuambia under what conditions hizi oil zinaweza tembea umbali wote huo..,kumbuka at times utapokua unahangaika kutengeneza gari lako because of these myth za brands you will be alone, and marketing people will no be there.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app