Zifahamu kata 10 za Temeke zitakazopisha ICD

Hao wananchi walifuatwa mapema na sijui ndio muwekezaji...
Wakaanza wengine walitaka b moja,, million200 mara million mia 300 hivyo yaani!. na hiyo ilikuwa ni mwaka Jana kwnye mwezi wa tano na hapo ni nyumba za baadhi ya mitaa zitaungwa na kuwa kitu kimoja.
sasa kuna baadhi walikwamisha ulipwaji kutokana na nyumba nyingine hazina hadhi hiyo nyumba nyinngine ukifanya tathmini haifiki hiyo gharama.....
Sasa naona mwarabu katonywa na dili limefika kwa wapigaji ngoja tuone watakavyolipwa.
 
Kuna jamaa yangu alitaka milioni 200 ngoja nimuuluize wamefikia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…