Zifahamu kata 10 za Temeke zitakazopisha ICD

Zifahamu kata 10 za Temeke zitakazopisha ICD

Kurasini tayari,sasa wapo Sandali na Chang'ombe.
Kurasini tokea kitambo? Changombe maeneo gani pamevunjwa? Sandali sina uhakika maana mtonipale karibu sabasaba maonyesho, miburani na Azimio ndio karibu ila hamna mchakato wowote
 
Kwenye list ni idadi ya kataa 10 zitakazopisha ujenzi wa ICD.
View attachment 3673172kama wewe ni miongoni wa wanaoishi kata hizo. Anza mapema kutafuta kiwanja bagamoyo, mvuti, kibaha, kongowe, chanika.
Ardhi ni mali ya serikali wananchi wanapewa.waitumie kwa.muda tu ndiyo maana unapewa lease ya miaka 33, 66 au 99. Serikali inaweza kubadilisha matumizi ya ardhi wakati wowote ikihitajika kwa hiyo acheni kulialia kutaka kukwamisha miradi ya serikali.
 
Ni baadhi ya sehemu za kata hizo, haimaanishi kuwa kata nzima inapigwa mtama.
Hivi kigamboni maeneo ya mji mwema kwenda kibugumo napo kuna mipango ya kuweka hizi ICDs? maana naona nilipita mda nikaona napo containers
 
Kwala hatujamaliza tunarudi tena dar, sasa hule mpango kazi wa kupunguza mlundikano wa watu dar umeishia wapi.

Nchi yetu imekumbwa na upigaji mwingi sana.
Inasemekana miundombinu ya kufikisha kontena kwala haitoshelezi. Yani treni inapakia behewa chache sana za kontena kutoa bandarini. Hivyo hamna jinsi ICD lazima ziwe karibu ya bandari.
 
Hivi kigamboni maeneo ya mji mwema kwenda kibugumo napo kuna mipango ya kuweka hizi ICDs? maana naona nilipita mda nikaona napo containers
Kuna maeneo mengi ya serikali yaliyotengwa kwa ajili ya bandari na navy. Ila kuna baadhi ya makazi yapo kiholela kwa sababu watu wanauziana serikali za mitaa.
 
Inasemekana miundombinu ya kufikisha kontena kwala haitoshelezi. Yani treni inapakia behewa chache sana za kontena kutoa bandarini. Hivyo hamna jinsi ICD lazima ziwe karibu ya bandari.
Hawana utashi tu wa kufanya hivyo.Gharama ya kulipa fidia na kujenga miundombinu ya kuweka hiyo mizigo hapa mjini lazima itakuwa kubwa zaidi ya kuboresha miundombinu ya kupeleka Kwala.
 
Ivi kwanini wasijenge ICDs bagamoyo
Hawa watu wamefilisika kabisa kifikra usitegemee kitu kipya na Cha maana Toka kwao. Watu wanaotetewa na watu aina ya mwaipopo hakika hao wamefilisika
Ile ya kwala iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom