Zifahamu kata 10 za Temeke zitakazopisha ICD

Zifahamu kata 10 za Temeke zitakazopisha ICD

Kumbukeni mkataba wa DP World.. kuna kipengele kilichosema, kama watahitaji ardhi sehemu yoyote ya tanganyika basi serikali itatakiwa kuitoa kwa gharama zake yenyewe.

wamepataka TMK sasa..!!

ila sina ushahidi msinifuate na mawakili wenu mi nimejiandikia tuu. hivyo nichukulieni muongo.
 
G.S.M alichangia 10 B mlitegemea itarudije?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hii ishu best kanipigoa simu ndugu kesho sintafika ile nyumba yetu ya keko inakuwa bandari kavu.

Miye tooba, cha ajabu kikao kimehairishwa, nyie vipi mwapangaje kikao j3 mshindwe kabis.
 
Kumbukeni mkataba wa DP World.. kuna kipengele kilichosema, kama watahitaji ardhi sehemu yoyote ya tanganyika basi serikali itatakiwa kuitoa kwa gharama zake yenyewe.

wamepataka TMK sasa..!!

ila sina ushahidi msinifuate na mawakili wenu mi nimejiandikia tuu. hivyo nichukulieni muongo.
Hayo ni maoni na hayana nguvu kisheria kubafirisha muelekeo wowote, hivyo usiwe na wasi wasi kuhusu hilo kwamba utatafutwa, unayo haki ya maoni na kujieleza.

Just talk Freely
 
Wabongo mnapenda utelezi..

Utakuta mtu anakajumba hata 15 hakafiji kwa gharama alizotumia, na yeye ana lilia 500m au billion😂

Waka I wa buza wa navyo penda kukaa vibarazani watakesha kwenye mabaa wakinywa tu
Safiiiii
 
Back
Top Bottom