Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

Pia naulizia ile handsaw ndogo kwa matumizi ya kawaida kuchana mbao badala ya misumeno ya kawaida ya mbao
 
Pia naulizia ile handsaw ndogo kwa matumizi ya kawaida kuchana mbao badala ya misumeno ya kawaida ya mbao
Una maanisha circular saw au chainsaw mkuu sijakuelewa vizuri ,au nicheck hewani au whatsapp 0684670925
 
TYRE CHANGER
Mashine hii itakusaidia kufanya mounting na dismounting tyres za magari , clamping size yake ni 12-24"
Bei yake ni 3.8M
Ni mashine muhimu sana kwa gereji yako ya kisasa na ikitumika location nzuri uhakika wa faida ni mkubwa
 
Wood combination machine
Mashine ya Kuchana ,kuranda na kutoboa
Bei 5,000,000
 
SUPER ARC 5000 WELDING MACHINE
Mashine kubwa za kuchomelea bei 1,500,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…