Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

Unayo ya kufungulia Bolt? Mfano ile ya kufungulia au kufunga Tairi la gari.

Pia Mashine electrical ya kujaza upepo wa tairi. Portable ya kuunga na umeme wa gari.
 
Vipi Mashine za Aggregate crasher na Za kufyatulia matofali?
 
Unayo ya kufungulia Bolt? Mfano ile ya kufungulia au kufunga Tairi la gari.

Pia Mashine electrical ya kujaza upepo wa tairi. Portable ya kuunga na umeme wa gari.
Cordless impact wrench na Pneumatic zote zipo , pia compressor za umeme tu zipo pamoja na hizo welding zipo, unaweza kunichek whatsapp nikakutumia picha na details zote
 
Jamani msaada jinsi ya kususcribe uzi jamiiforum
Kama unatumia app ya tapatalk au jamii forum from playstore ukishaingia kwenye thread husika angalia upande wa juu kulia utaona kibox hivi kidogo kina alama ya tick click pale moja kwa moja utakuwa subscribe katika uzi husika
 
Ina matumizi mengi sana mkuu, kama vile
>Pneumatic air tools zinatumika kufunga na kufungua bolts
>kujaza upepo kwenye matairi ya gari
>kupaka rangi (paint spraying)
>migodini ku drill , piling,na kwenye conveyors
>kusafirisha gas kwenye mabomba

Hizo ni baadhi ya applications ingawa zipo nyingi sana nyingine sijazitaja
 
Air compresor ni kwa ajaili ya nini?
Ina matumizi mengi sana mkuu, kama vile
Pneumatic air tools zinatumika kufunga na kufungua bolts
kujaza upepo kwenye matairi ya gari
kupaka rangi (paint spraying)
migodini ku drill , piling,na kwenye conveyors
kusafirisha gas kwenye mabomba

Hizo ni baadhi ya applications ingawa zipo nyingi sana nyingine sijazitaja
 
AIR COMPRESSORS
25 L-350,000
50 L-450,000
50 L silent compressor -550,000
 

Attachments

  • 20230912_152154.jpg
    62.9 KB · Views: 12
ALTERNATORS
Mashine za kufua umeme
10 kilowatts
Bei 1,500,000
 
Aggregate crusher hipi kati ya compression crusher au impact crusher mkuu?..mashine za kufyatulia tofali tunazo
Mimi sio mtaalam lakini nawaza kuanzisha mradi kama huu kwa hiyo nahitaji Uelewa.

Mashine yenye uwezo mkubwa wa kufyatua matofali ni bei gani na ya kokoto bei gani?
Tunaweza kupata. Photos na Price lists kama ulivyofanya kenye mashine zingine?

Natanguliza Shukrani
 
JAW CRUSHERS

PE 150 X250
Specs
-Maximum input size 125 mm
-1.7-5.6 tons/hrs
-power 5.5kw
-output [particles size 15-45mm ]
-uzito 450 kg
Bei 5,500,000

PE 200X300
Specs
-Maximum input size 180mm
- 2-6 tons /hrs
-output [particle size 15-50mm]
-power 7.5kw
-uzito 740kg
Bei 8,500,000

PE250X400
Specs
-Maximum input size 210mm
-5-22 tons/hour
-power 15kw
- output size 20-60mm
-uzito 1800kg
Bei 15,000,000
View attachment 2749975View attachment 2749976View attachment 2749978
 
200L EDON AIR COMPRESSOR
working pressure 116 PSI
Zipo 2 in 1 na umeme tu
Bei 1,450,000

Kwa kijiwe cha kujaza upepo matairi au kuziba pancha au gereji ,,mashine ndo hizi
 
PRESSURE WASHERS
Katika kampuni ambayo ina durable na robust machines basi ni hii LUTIAN

Ukipata maashine zake basi umefunga kazi kabisa
Kwa ambae ana wasiwasi aulize kwa mtu ambaye mwenye mashine za kampuni hii iwe pressure washer au generators , wapo vizuri sana hawa jamaa

Kwa mtu ambae atapata nafasi za kumiliko mashine za hawa jamaa ajikite tu kwenye utunzaji na effective maintenance & services otherwise mashine itadumu na itarudisha hela kwa wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…