Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania


Mkuu mashine za hawa jamaa zimesimama kiasi gani?
 
Hizi ni kwaajili ya matumizi yep mtaalam?
Hii inatumika kwenye sekta ya ujenzi
Pale inapo vibrate vigorously inasaidia kutoa air bubbles kwenye fresh poured concrete, hivo basi ina uhitaji mkubwa sana ili kuongeza compressive strength ya concrete
Na zipo recommended kwenye building act code
 
Mkuu mashine za hawa jamaa zimesimama kiasi gani?
Zipo za petrol, diesel na umeme
Bei zake zinaanzia 1,800 000 hiyo ni kwa pressure washer
Lakini wana majenereta pia na pump na mashine nyingi sana , kiufupi ni brand ambayo inafanya vizuri sana na wana design engineers wazuri bila kusahau brand ya EAGLE, wanachuana hao
 
Pedrolo water pumps
made in Italy
Ni pump imara sana
Zipo surface na submersible katika ukubwa wa mdomo mbalimbali (in inches)
 
Mable cutters bei 170,000
Kwa ajili ya kukata granites, brittle au tiles kwa saizi ambayo mtu anataka
 
Y 24 PNEUMATIC DIGGER
Bei 750,000
Inatumia upepo
 

Attachments

  • Screenshot_20230922-110251_WhatsAppBusiness.jpg
    48.5 KB · Views: 9
Earth Auger, mashine ya kuchimbia mashimo ,inatumia petroli
Bei 750,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…