Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Weka bei mkuuCordless drill kwa wafunga mabango na watengenezaji ina rahisisha kazi na ni bei nafuuView attachment 2622757
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka bei mkuuCordless drill kwa wafunga mabango na watengenezaji ina rahisisha kazi na ni bei nafuuView attachment 2622757
Hiyo 250,000 mkuuWeka bei mkuu
Kwani mpya dukani bei gani mkuu?Hiyo 250,000 mkuu
Ndo mpya hio mkuu , mimi sihusiki na vitu usedKwani mpya dukani bei gani mkuu?
Attached type vibration motor 3hpVibration Motor 3 horsepower, 380 V bei 450,000View attachment 2756112
Hizi ni kwaajili ya matumizi yep mtaalam?Attached type vibration motor 3hp View attachment 2756171View attachment 2756172
PRESSURE WASHERS
Katika kampuni ambayo ina durable na robust machines basi ni hii LUTIAN
Ukipata maashine zake basi umefunga kazi kabisa
Kwa ambae ana wasiwasi aulize kwa mtu ambaye mwenye mashine za kampuni hii iwe pressure washer au generators , wapo vizuri sana hawa jamaa
Kwa mtu ambae atapata nafasi za kumiliko mashine za hawa jamaa ajikite tu kwenye utunzaji na effective maintenance & services otherwise mashine itadumu na itarudisha hela kwa wakatiView attachment 2750560
Hii inatumika kwenye sekta ya ujenziHizi ni kwaajili ya matumizi yep mtaalam?
Zipo za petrol, diesel na umemeMkuu mashine za hawa jamaa zimesimama kiasi gani?
350,000 mkuuMkuu generator za kumwagilia nzuri zinaanzia Bei gani