Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

Think machines,mimi nijana kiaka 25 natafuta kubarua naomba msaada 255694934864
 
SOLAR POWERED PUMPS
O.75 HP..900,000
1 HP ...1,000,000
1.5 HP...1,100,000
 
Easy power EP2500 Gasoline pressure washer bei 1,350,000
Unaweza kuitumia kwenye mazingira yote mjini na vijijini na imara ikitunzwa vizuri
 
NBC 500 INDUSTRIAL WELDING + WIRE FEEDER bei 2.7M
Ni mashine nzuri ya MIG technology ya kuchomelea kwenye heavy duty works kwa wale ambao wana garage au facilities za ku refurbish magari hasa malori makubwa hii inawafaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…