Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hizo hatunaUna mashine za kutengeneza ICECREAM?
Ya kuchana na ya kulanda bei zipoje?Mashine za kuranda , kuchana na kutoboaView attachment 2819084View attachment 2819085View attachment 2819086
850,000Naitaka hiyo masine (edon mmA 400s) bei gani sheikh
Inch 12....3,700,000Ya kuchana na ya kulanda bei zipoje?
Una mashine za kutengeneza ICECREAM?
Nahitaji solar Yenye uwezo wa kuvuta maji kwenye kisima chenye urefu wa mita 90
Ipo mkuu Dongyin solar powered pump 1,100,000 ..1.5hp ...108 metresNahitaji solar Yenye uwezo wa kuvuta maji kwenye kisima chenye urefu wa mita 90
Tupo sinza mori ..naziandaa ntaziweka zote hapa diesel,petrol na za umemeAlso je pump za kuvuta maji za Petrol kuaanzia bei gani!? Na diesel pia!?
Na duka lako lipo wapi!?
Mfumo mzima hizo ndio bei zake au ? AU N pump pekee?
Pump peke yake mkuuMfumo mzima hizo ndio bei zake au ? AU N pump pekee?