Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibratory Roller Compactor
Sio kila bidhaa ya china ni mbovu , sema wengi wananunua hizo mashine bila kupata ushauri mzuri kwa wauzaji , sisi tunaouza tunajua mashine zipi ni nzuri na zipi zina usumbufu mwingi , CHUKUA PRESSURE WASHER ZA EAGLE au LUTIAN halafu uone kama utakuja kulalamika hapaEDON bana, nilinunua pressure washer Yao baada ya miezi miwili ukiiwasha unasikia muungurumo tu maji hayapandi tena nikajua tayari mchina kanipiga hivyo, hizi bidhaa tunazouziwa madukani ni hiyo basi tu mifukoni wengi ni mitupu...nikagundua kwanini US anajaribu kumzibia mchina.
Kumbe Sasa Kuna bidhaa za kampuni mbovu na nzima!, kwanini walete bidhaa Sasa? Nilikuwa nazo EDON mbili, iliharibika ya kwanza nikachukulia poa tu, ikabidi nitoboke tena nikachukue nyingine nayo miezi kama miwili na nusu hivi ikanifia kama ya kwanza vile, ikabidi nizirudishe dukani muuzaji akaahidi kuzitengeneza aah wapi, ni almost five months zinatengenezwa tu ikabidi Sasa nikazichukue nianze kutafuta mafundi local wakomae nazo...ninachoona wengi mifuko yetu ni mibovu hatuwezi afford vitu vizuri, nakumbuka zile drill za INNCO za mwanzo kabisa zile zilikuwa Bomba kweli kweli.Sio kila bidhaa ya china ni mbovu , sema wengi wananunua hizo mashine bila kupata ushauri mzuri kwa wauzaji , sisi tunaouza tunajua mashine zipi ni nzuri na zipi zina usumbufu mwingi , CHUKUA PRESSURE WASHER ZA EAGLE au LUTIAN halafu uone kama utakuja kulalamika hapa
Off topic: usimdharau mchina kwenye bidhaa zake , Nitajie nchi ambayo inauza product nyingi Europe & USA out of CHINA
Huwa ninawashangaa sana watu wanaobeza bidhaa za China wakati huku Africa , uwezo wetu ni mdogo
Ebu fikiri leo hii tutoe mashine zote za China hapa mjini uone ni wangapi wataweza kuwa na pressure washer
Next time , Kabla hujanunua mashine ya aina yoyote fanya utafiti ili ujue ubora wa mashine husika hiyo itakusaidia kupunguza changamotoEDON bana, nilinunua pressure washer Yao baada ya miezi miwili ukiiwasha unasikia muungurumo tu maji hayapandi tena nikajua tayari mchina kanipiga hivyo, hizi bidhaa tunazouziwa madukani ni hiyo basi tu mifukoni wengi ni mitupu...nikagundua kwanini US anajaribu kumzibia mchina
Kumbe Sasa Kuna bidhaa za kampuni mbovu na nzima!, kwanini walete bidhaa Sasa? Nilikuwa nazo EDON mbili, iliharibika ya kwanza nikachukulia poa tu, ikabidi nitoboke tena nikachukue nyingine nayo miezi kama miwili na nusu hivi ikanifia kama ya kwanza vile, ikabidi nizirudishe dukani muuzaji akaahidi kuzitengeneza aah wapi, ni almost five months zinatengenezwa tu ikabidi Sasa nikazichukue nianze kutafuta mafundi local wakomae nazo...ninachoona wengi mifuko yetu ni mibovu hatuwezi afford vitu vizuri, nakumbuka zile drill za INNCO za mwanzo kabisa zile zilikuwa Bomba kweli kweli.
Ok shukranKwa ambao hawataweza kugharamikia compressor ndogo kama liter 25 , wanaweza kuanza na electric spray gun huku wakojitafuta , nimekuwekea hapo chini bei yake ni 120,000
View attachment 2716382
Mashine Nzuri kwa sasa upande wa Carwash ni kutoka LUTIAN, hawa jamaa wana mashine nzuri sana kama utaitunza vizuri utadumu nayo ndani ya mda mrefu sanaNataka kufungua car wash, bajeti yangu ya kununua mashine ya water pressure ni milioni moja, je ni mashine gani nzuri zaidi naweza kupata kwa bajeti iyo? Au kama ni ndogo kiasi gani niongezee nipate water pressure nzuri ambayo haisumbui?
Inazalisha litres za nn?Karibu ndugu mteja !! Tuna machine za mjumbani ambazo huzalisha lita 250 kwa saa yaan ndani ya masaa 10 lita 2500, pia kna za lita 500 kwa saa yaan masaa 10 lita 5000, knazo za lita 1000 kwa saa yaan masaa 10 lita 10,000 ,lita 2000 kwa saa masaa kumi lita 20,000 , lita 3000 kwa saa masaa kumi lita 30,000 , lita 5000 kwa saa masaa kumi lita 50,000 nk
Bei ziko kama ifuatavyo
Lita 250 kwa saa majumbani ni 8.5 millions
Lita 250 kiwanda 15 millions
Lita 500 nyumbani 12millions
Lita 500 kiwanda 18 millions
Lita 1000 30 millions
Lita 2000 35 millions
Lita 3000 44 millions
Lita 5000 60 millions
Lita 8000 92 millions View attachment 299801792 millions
Maji masafi ( Water treatment machine)
Okay sawaMaji masafi ( Water treatment machine)
Kwaiyo kwa haraka haraka niandae milioni mbili hivi ndo naweza kupata mashine nzuri au sio. na vipi zinazoweza kutumia petroli gharama inakuaje maana si unajua umeme wenyewe wa tanesco hautabirikiMashine Nzuri kwa sasa upande wa Carwash ni kutoka LUTIAN, hawa jamaa wana mashine nzuri sana kama utaitunza vizuri utadumu nayo ndani ya mda mrefu sana
Kwa harakaharaka ,
Lutian pressure washer zipo katika ukubwa tofauti
1. Psi 3000 single phase 2.2kw Electric Motor (1,750,000)
2. Psi 3600 Single phase 3.7kw Electric motor (1,950,000)
3. 4000 psi 3 phase 5.5kw Electric Motor (2,400,000)
4. 4600 3 phase 7.5 kw Electric Motor (2,700,000)
Ndio mkuu ukipata lutian 3600 PSI ya umeme inafaa kuanzia kazi , za petrol zinaanzia 650,000Kwaiyo kwa haraka haraka niandae milioni mbili hivi ndo naweza kupata mashine nzuri au sio. na vipi zinazoweza kutumia petroli gharama inakuaje maana si unajua umeme wenyewe wa tanesco hautabiriki
Poa poa nikijipanga nitakutafuta?Ndio mkuu ukipata lutian 3600 PSI ya umeme inafaa kuanzia kazi , za petrol zinaanzia 650,000