Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

20 kva super silent Generators 3 phase
20,000,000
20240503_110527.jpg
 
20240503_110609.jpg

500 litres Concrete mixer powered by 10 hp diesel engine
7.5 m + VAT inclusive
 
Air compressor 25L unaweza kujaza upepo wa matairi ya pikipiki na kupigia rangi pamoja na usafi

bei 370,000 complete
20240504_152017.jpg
 
TOWER LIGHT
Kwa ajili ya kumulikia migodini na kwenye ujenzi au katika shughuli zozote usiku

Inakuja na taa kubwa 4 za 400W
Pia na genereta la 7kv
jumla 8,700,000

IMG-20240510-WA0020(1).jpg
 
EDON bana, nilinunua pressure washer Yao baada ya miezi miwili ukiiwasha unasikia muungurumo tu maji hayapandi tena nikajua tayari mchina kanipiga hivyo, hizi bidhaa tunazouziwa madukani ni hiyo basi tu mifukoni wengi ni mitupu...nikagundua kwanini US anajaribu kumzibia mchina.
 
Sio kila bidhaa ya china ni mbovu , sema wengi wananunua hizo mashine bila kupata ushauri mzuri kwa wauzaji , sisi tunaouza tunajua mashine zipi ni nzuri na zipi zina usumbufu mwingi , CHUKUA PRESSURE WASHER ZA EAGLE au LUTIAN halafu uone kama utakuja kulalamika hapa

Off topic: usimdharau mchina kwenye bidhaa zake , Nitajie nchi ambayo inauza product nyingi Europe & USA out of CHINA

Huwa ninawashangaa sana watu wanaobeza bidhaa za China wakati huku Africa , uwezo wetu ni mdogo

Ebu fikiri leo hii tutoe mashine zote za China hapa mjini uone ni wangapi wataweza kuwa na pressure washer
 
EDON bana, nilinunua pressure washer Yao baada ya miezi miwili ukiiwasha unasikia muungurumo tu maji hayapandi tena nikajua tayari mchina kanipiga hivyo, hizi bidhaa tunazouziwa madukani ni hiyo basi tu mifukoni wengi ni mitupu...nikagundua kwanini US anajaribu kumzibia mchina

Kumbe Sasa Kuna bidhaa za kampuni mbovu na nzima!, kwanini walete bidhaa Sasa? Nilikuwa nazo EDON mbili, iliharibika ya kwanza nikachukulia poa tu, ikabidi nitoboke tena nikachukue nyingine nayo miezi kama miwili na nusu hivi ikanifia kama ya kwanza vile, ikabidi nizirudishe dukani muuzaji akaahidi kuzitengeneza aah wapi, ni almost five months zinatengenezwa tu ikabidi Sasa nikazichukue nianze kutafuta mafundi local wakomae nazo...ninachoona wengi mifuko yetu ni mibovu hatuwezi afford vitu vizuri, nakumbuka zile drill za INNCO za mwanzo kabisa zile zilikuwa Bomba kweli kweli.
 
Next time , Kabla hujanunua mashine ya aina yoyote fanya utafiti ili ujue ubora wa mashine husika hiyo itakusaidia kupunguza changamoto
Mimi nipo dukani nakwambia hii issue kwa uzoefu , wateja wengi wanaokuja wana prefer mshine za bei rahisi au bajeti zao ni ndogo sana kiasi kwamba wanalazimika kuchukua kampuni kama hizo za edon
 
Nataka kufungua car wash, bajeti yangu ya kununua mashine ya water pressure ni milioni moja, je ni mashine gani nzuri zaidi naweza kupata kwa bajeti iyo? Au kama ni ndogo kiasi gani niongezee nipate water pressure nzuri ambayo haisumbui?
 
Karibu ndugu mteja !! Tuna machine za mjumbani ambazo huzalisha lita 250 kwa saa yaan ndani ya masaa 10 lita 2500, pia kna za lita 500 kwa saa yaan masaa 10 lita 5000, knazo za lita 1000 kwa saa yaan masaa 10 lita 10,000 ,lita 2000 kwa saa masaa kumi lita 20,000 , lita 3000 kwa saa masaa kumi lita 30,000 , lita 5000 kwa saa masaa kumi lita 50,000 nk

Bei ziko kama ifuatavyo
Lita 250 kwa saa majumbani ni 8.5 millions
Lita 250 kiwanda 15 millions
Lita 500 nyumbani 12millions
Lita 500 kiwanda 18 millions
Lita 1000 30 millions
Lita 2000 35 millions
Lita 3000 44 millions
Lita 5000 60 millions
Lita 8000 92 millions
IMG-20240524-WA0001.jpg
92 millions
 
Nataka kufungua car wash, bajeti yangu ya kununua mashine ya water pressure ni milioni moja, je ni mashine gani nzuri zaidi naweza kupata kwa bajeti iyo? Au kama ni ndogo kiasi gani niongezee nipate water pressure nzuri ambayo haisumbui?
Mashine Nzuri kwa sasa upande wa Carwash ni kutoka LUTIAN, hawa jamaa wana mashine nzuri sana kama utaitunza vizuri utadumu nayo ndani ya mda mrefu sana

Kwa harakaharaka ,
Lutian pressure washer zipo katika ukubwa tofauti

1. Psi 3000 single phase 2.2kw Electric Motor (1,750,000)

2. Psi 3600 Single phase 3.7kw Electric motor (1,950,000)

3. 4000 psi 3 phase 5.5kw Electric Motor (2,400,000)

4. 4600 3 phase 7.5 kw Electric Motor (2,700,000)
 
Karibu ndugu mteja !! Tuna machine za mjumbani ambazo huzalisha lita 250 kwa saa yaan ndani ya masaa 10 lita 2500, pia kna za lita 500 kwa saa yaan masaa 10 lita 5000, knazo za lita 1000 kwa saa yaan masaa 10 lita 10,000 ,lita 2000 kwa saa masaa kumi lita 20,000 , lita 3000 kwa saa masaa kumi lita 30,000 , lita 5000 kwa saa masaa kumi lita 50,000 nk

Bei ziko kama ifuatavyo
Lita 250 kwa saa majumbani ni 8.5 millions
Lita 250 kiwanda 15 millions
Lita 500 nyumbani 12millions
Lita 500 kiwanda 18 millions
Lita 1000 30 millions
Lita 2000 35 millions
Lita 3000 44 millions
Lita 5000 60 millions
Lita 8000 92 millions View attachment 299801792 millions
Inazalisha litres za nn?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mashine Nzuri kwa sasa upande wa Carwash ni kutoka LUTIAN, hawa jamaa wana mashine nzuri sana kama utaitunza vizuri utadumu nayo ndani ya mda mrefu sana

Kwa harakaharaka ,
Lutian pressure washer zipo katika ukubwa tofauti

1. Psi 3000 single phase 2.2kw Electric Motor (1,750,000)

2. Psi 3600 Single phase 3.7kw Electric motor (1,950,000)

3. 4000 psi 3 phase 5.5kw Electric Motor (2,400,000)

4. 4600 3 phase 7.5 kw Electric Motor (2,700,000)
Kwaiyo kwa haraka haraka niandae milioni mbili hivi ndo naweza kupata mashine nzuri au sio. na vipi zinazoweza kutumia petroli gharama inakuaje maana si unajua umeme wenyewe wa tanesco hautabiriki
 
Ndio mkuu ukipata lutian 3600 PSI ya umeme inafaa kuanzia kazi , za petrol zinaanzia 650,000
 
Back
Top Bottom