Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

SWIMMING POOL PUMP kwa ajili ya kujaza maji kwenye swimming pool
20240604_134025.jpg
20240604_134011.jpg
20240604_134001.jpg
 
Sewage water pumps zinapatikana kwetu pia zipo hp 1 hadi 7.5
IMG-20240607-WA0003.jpg
 
Air Compressor lita 100 kwa ajili ya kujaza upepo matairi ya maguta , pikipiki na gari ndogo
IMG-20240622-WA0021.jpg
 
20240819_100530.jpg
Bravo Bag Closer mashine ya kufungia mifuko Inatumia umeme bei 450,000
 
Next time , Kabla hujanunua mashine ya aina yoyote fanya utafiti ili ujue ubora wa mashine husika hiyo itakusaidia kupunguza changamoto
Mimi nipo dukani nakwambia hii issue kwa uzoefu , wateja wengi wanaokuja wana prefer mshine za bei rahisi au bajeti zao ni ndogo sana kiasi kwamba wanalazimika kuchukua kampuni kama hizo za edon
Nataka nifungue kijiwe cha welding na carpentry . Kama itawezekana nisaidie brand name ya kifaa na bei.
welding machine
Drill mashine
compressor
Circular saw
Jig saw mashine
palm Sandler
 
Nataka nifungue kijiwe cha welding na carpentry . Kama itawezekana nisaidie brand name ya kifaa na bei.
welding machine
Drill mashine
compressor
Circular saw
Jig saw mashine
palm Sandler
Okay nashukuru ,
-Welding Mashine nzuri ni MMA 300S [350,000] na MMA 400S [ 700,000] BRAND YA EDON
-DRILL machine kampuni ya BOSCH 13MM [ 150,000]
- COMPRESSOR BRAND YA EDON LITA 25 [ 350,000] LITA 50 [450,000]
-JIG SAW BRAND YA IDEAL ID540W 220,000 zipo pia hadi za 180,000 ila hiyo niliyoitaja ndio nzuri
- PALM SANDER BOSCH - 150,000 ni heri kuchukua ORBITAL SANDER ina matumizi mingi kuliko PALM SANDER
 
Asante
Vipi kuhusu ..Angle Grinder?
Drill masfine ni watts ngapi?
 
Asante
Vipi kuhusu ..Angle Grinder?
Drill masfine ni watts ngapi?
Drill mashine watts 500
Grinder nzuri ni DeWalt (India) 420,000 , Makita GA9020 400,000 Makita M0921 330,000 IDEAL 300,000 INGCO 280,000
 
HEAVY DUTY JAW CRUSHERS
PE400×600
WEIGHT 2.3 TONS
20241128_110508.jpg
 
Back
Top Bottom