Cainan
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 461
- 540
Ndio mkuu bila shida yoyotePoa poa nikijipanga nitakutafuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu bila shida yoyotePoa poa nikijipanga nitakutafuta?
Pump au motor ? Weka vizuri hapoMahitaji motor ya kuvuta maji Toka kwenye kisima .
How much's thisArc welding machines
View attachment 3024368
Mashine za kuchomelea za single phase Arc weldingHow much's this
Zile spana za kufungulia nati na bolt zinazotumia upepo wa kompresa ambazo hufungua magar makubwa kama fuso na scania. Gharama yake ni kias gan?View attachment 3091023Bravo Bag Closer mashine ya kufungia mifuko Inatumia umeme bei 450,000
Nataka nifungue kijiwe cha welding na carpentry . Kama itawezekana nisaidie brand name ya kifaa na bei.Next time , Kabla hujanunua mashine ya aina yoyote fanya utafiti ili ujue ubora wa mashine husika hiyo itakusaidia kupunguza changamoto
Mimi nipo dukani nakwambia hii issue kwa uzoefu , wateja wengi wanaokuja wana prefer mshine za bei rahisi au bajeti zao ni ndogo sana kiasi kwamba wanalazimika kuchukua kampuni kama hizo za edon
Okay nashukuru ,Nataka nifungue kijiwe cha welding na carpentry . Kama itawezekana nisaidie brand name ya kifaa na bei.
welding machine
Drill mashine
compressor
Circular saw
Jig saw mashine
palm Sandler
AsanteOkay nashukuru ,
-Welding Mashine nzuri ni MMA 300S [350,000] na MMA 400S [ 700,000] BRAND YA EDON
-DRILL machine kampuni ya BOSCH 13MM [ 150,000]
- COMPRESSOR BRAND YA EDON LITA 25 [ 350,000] LITA 50 [450,000]
-JIG SAW BRAND YA IDEAL ID540W 220,000 zipo pia hadi za 180,000 ila hiyo niliyoitaja ndio nzuri
- PALM SANDER BOSCH - 150,000 ni heri kuchukua ORBITAL SANDER ina matumizi mingi kuliko PALM SANDER
Drill mashine watts 500Asante
Vipi kuhusu ..Angle Grinder?
Drill masfine ni watts ngapi?