Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Vp kuhusu INGCO mkuu wapo vizuri kwenye kifaa ganiNext time , Kabla hujanunua mashine ya aina yoyote fanya utafiti ili ujue ubora wa mashine husika hiyo itakusaidia kupunguza changamoto
Mimi nipo dukani nakwambia hii issue kwa uzoefu , wateja wengi wanaokuja wana prefer mshine za bei rahisi au bajeti zao ni ndogo sana kiasi kwamba wanalazimika kuchukua kampuni kama hizo za edon