Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

Next time , Kabla hujanunua mashine ya aina yoyote fanya utafiti ili ujue ubora wa mashine husika hiyo itakusaidia kupunguza changamoto
Mimi nipo dukani nakwambia hii issue kwa uzoefu , wateja wengi wanaokuja wana prefer mshine za bei rahisi au bajeti zao ni ndogo sana kiasi kwamba wanalazimika kuchukua kampuni kama hizo za edon
Vp kuhusu INGCO mkuu wapo vizuri kwenye kifaa gani
 
Kwenye power tools kama grinder na hammer drill wapo vizuri
vp kuhusu zile brush trimmer zao, na pia kampuni gani zipo vizuti kwenye brush trimmer.
 
Mashine za kukunja bati yaani zunazotumika kukunja sheet za milango ya na mageti ya chuma zinapatikana kwa shilingi ngapi?
 
Habari za mwaka huu ,
Nitaendelea kuleta mabandiko
 
Back
Top Bottom