Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
- Thread starter
- #21
Wewe mtazamo wako na hisia zako na utafiti wako Kenya haipaswi kuwa number 5 sio?Andika mada baada ya kufanya utafiti sio kuandika mada kwa hisia au kwa mtazamo wako!!!!!
Tupe list yako sasa tujadili
Sent using Jamii Forums mobile app