Zifahamu nchi ambazo jua halizami

Zifahamu nchi ambazo jua halizami

Jua linakuwa halionekani buana inakuwa km dalili ya mvua hivi uache uongo

Sasa niongope ili inisaidie nini? Kama umeishi nchi hizo zilizotajwa utakubaliana na mimi kwamba kipindi cha winter kuanzia november mpaka march au april hivi jua linachomoza saa tatu au saa nne asubuhi. Na ikifika mchana saa nane nane jua linazama na kunakua na GIZA TOTORO kama huku kunavyokua saa sita usiku. Hali hiyo ya giza inaendelea mpaka kesho yake saa nne asubuhi jua linapochomoza tena.
 
Nchi hizo ndiko kulianzia saa tunazovaa mikononi

Sababu mfano jua.muda wote.masaa 24 jua linawaka unaweza hata usijue asubuhi ni ipi na jioni ni ipi ukalale

Kule bila saa waweza kuwa mwehu sababu hutajua sasa nikalale niamke asubuhi!!

Simu kuweka alarm pia muhimu vinginevyo utakoma hujui saa ngapi niinuke kuwaitia kibaruani nk
 
Back
Top Bottom